Kwa maelezo ya CDF Mabeyo, Tundu Lissu ni muongo wa kutupwa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akili hauna wewe na inaonekana wewe ni Kibabu cha miaka 80+ Huna hoja na kutetea kile ulichokiandika hivi kwanini mmekuwa Watumwa wa wa fikra zenu wenyewe?

Dereva wa Lisu aje atoe ushahidi
 
Wewe ndo akili hauna. Unadhani pale CDF aliongea kila kitu..??
Kama hauoni zile withdraw gesture akiwa anazungumza, basi hata akili za kusema Lissu ni muongo haukupaswa kuwa nazo.

Kwa hiyo na Nairobi nao wametunza siri?

Nyumbu mkubwa wewe
 
We mwenyewe muongo kuliko. Maana umemwamini moja Kwa chuki zako hujamwamini ilhali Kati ya hao haujui mkweli ni nani maana wote wanasiasa na wanalinda maslahi ya nchi. We unaona Nan mkweli? Aliyesema Mzee baba ni mzima ulitaka aende sokoni umuone ndo useme? Huyo c ulimwamini?
 
Buku saba akili zao bana
 
Kitu gani kunakufanya uamini Mabeyo sie anaesema uwongo na Tundu Lissu ndie anasema kweli? Tuanzie hapo kwanza. Kumbuka, Mabeyo katika suala la Magufuli amekuwa na namna ya kujipigia debe kama vile alizuia mapinduzi. Unaamini anayosema? Na usisahau Mabeyo alichaguliwa na Magufuli kuwa CDF si kwa sifa zake za kuwa kikazi.
 
Ulitegemea CDF aeleze kiiilakitu?? Refresh ubongo wako masta
Yaani mtoa mada anafikiri Mabeyo kazungumza kilichopo ....
Mabeyo hawezi kwenda nje ya mstari ...
Kilichosema na hali ilivyokuwa ndani ni tofauti ... Zaidi ya hapo ni siri kuu kwa kilichomtokea Alwatan Jiwe ..

Na hata hiyo tarehe iliyotajwa kuondoka siyo yenyewe ...aliondoka muda sana
 

Kwa na kupigwa risasi Lisu mengi hayajasemwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…