Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
Kama kuna Siku ambayo nimeyasoma Maelezo ya Tundu Lissu kwa umakini wake kabisa huku nikiwa nimetulia kabisa mpaka Mzukulu nikajikuta nashindwa Kujizuia kwa Uchungu na kujikuta natokwa na Machozi basi ni haya aliyoyatoa leo kwa wale ' Makahaba wa Kisiasa ' wanaoihama CHADEMA.
Na kama kuna Mbunge wa CHADEMA ambaye si tu kwamba CHADEMA ilimhangaikia na Viongozi wake Waandamizi wengi kupoteza muda wao Kwake ili Kumuokoa na kwamba sasa ameshajizolea Laana za Wapenda haki na Demokrasia na za Mwenyezi Mungu ni Bwana Peter Lijuakali.
Nilichokiona tu kupitia Maelezo ya Tundu Lissu hasa kwa hawa Wabunge wa CHADEMA wanaohamia CCM ( Makahaba wa Kisiasa ) ni kwamba kwa sasa wanaweza Kufurahia huo Usaliti wao ila nina uhakika 99% yao Laana Kali ya wana Demokrasia na ya Mwenyezi Mungu itawatesa hadi Umauti.
Ushauri wangu Kwao kama wakiweza basi Kisirisiri waende Kuwaangukia Viongozi na wana CHADEMA ili wasalimike hasa.