Uchaguzi 2020 Kwa mafanikio haya, Magufuli kuchukua kura zote Mkoani Shinyanga

Hapana, utendaji kazi wa CCM wenye weledi, ubunifu na uzalendo pamoja na utekelezaji wa miradi mikubwa yenye tija kwa taifa.
 
Ukabila unamponza.
 
Mbona makao makuu ya mkoa wa shinyanga,yaani kahama haina taa barabarani,wala lami mitaani ,walibugi wapi?
 
Mbona makao makuu ya mkoa wa shinyanga,yaani kahama haina taa barabarani,wala lami mitaani ,walibugi wapi?
Tukitaka kula nyama tusubiri banda lijae. Maendeleo yanakuja barabara zinaendelea kukarabatiwa.
 
Tumekusikia UVCCM kojoa ukalale maana wewe bado ni katoto hujakua bado.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Rais Magufuli amefanya kazi kwa weledi, uaminifu na kuleta maendeleo ya kitaifa yenye tija kwa ustawi wa taifa letu.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Rais Magufuli amefanya kazi kwa weledi, uaminifu na kuleta maendeleo ya kitaifa yenye tija kwa ustawi wa taifa letu.
Kazi alizofanya ni kama kazi tu wengine walisofanya wala hakuna maajabu yoyote ila huko kwenye weledi na uaminifu sasa ni chumvi na ndimu tu. Miradi yake mingi kwa kweli haikufata taratibu za kitaaluma zaidi bali imelenga mikakati ya kisiasa zaidi na kwenye uaminifu hapana nakataa maana kumekuwa na usiri sana tena usio wa lazima juu ya utekelezaji wake kuanzia kwenye tenda na manunuzi yake haikufuata utaratibu wa kisheria tuliojiwekea. Hivyo ninaconclude kuwa hakuna maajabu! Ni usanii tu na kiini macho tena tumepigwa kweli kweli!!!
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Rais Magufuli amefanya kazi kwa weledi, uaminifu na kuleta maendeleo ya kitaifa yenye tija kwa ustawi wa taifa letu.
Amechinja watu wengi kinyama msimtetee muuaji.
 
Heil JPM
 


CCM WENGI HAWATAINGIA MBINGUNI
Nimeandika thread hii kwa makusudi kutoka na matendo maovu ya watu wanaoitwa wana CCM. Ili mtu aweze kuwa ccm lazima akubali kuwa na sifa hizi zifuatazo.
1-Mnafiki sana, Yesu alisema ole wenu waandishi na mafarisayo kwa kuwa mnasafisha kikombe kwa nje ila kwa ndani kimejaa uchafu.
2-Muongo na mbadilisha kauli za watu wengine. asilimia 90 za wana ccm ni waongo sana sana
3-Muaji na mkatili. sasa hivi wana ccm wengi kuuwa kwao ni sifa ndio maana unakuta mtu anafurahia kushambuliwa kwa Lissu
4-Mueneza chuki na ubaguzi. ccm wengi wanaeneza chuki hasa viongozi wao wanaendelea kuwaaminisha wananchi kuwa wao ccm ndio watu na Raia wa Tanzania wengine wana uraia wa nchi mbili, kwa hiyo wanakusudia kuleta vurugu.
5-Mwizi na haramia mkubwa. ccm karibuni wote ni wezi ndio maana wanateteana ili asijekutokea mwingine au chama kingine kikawashitaki.
6-Propaganda za uongo. Takribani wana ccm wote ni watu wakueneza propaganda za uongo, ni wazushi sana sana.
Wana sifa nyingi mbaya unaweza kuendeleza orodha hii....

Ndio maana nasema kuwa ccm ni vigumu kuingia mbingun
 
Imeandikwa "Usimshuhudie jirani yako uongo." Umekuja katika uwanja huu ukiwa na hoja 6 ambazo hazina mashiko. Tutaendelea kuongea ukweli daima.
Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na upendo wa Mungu ukae nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…