Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 586
- 590
Hapana, utendaji kazi wa CCM wenye weledi, ubunifu na uzalendo pamoja na utekelezaji wa miradi mikubwa yenye tija kwa taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukabila unamponza.Na Baraka Mina.
Waingereza wanasema “Seeing is believing” yaani “kuona ni kuamini”. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari John Pombe Joseph Magufuli siku ya leo (03/09/2020) majira ya tano asubuhi kwenda saa sita mchana atakuwa anawasili katika viwanja vya Kambarage mkoani Shinyanga kwa ajili ya kuendelea na kampeni za kuomba ridhaa ya kuwa Rais kwa kipindi cha pili kwa mwaka 2020 – 2025.
Nimefika mkoani Shinyanga na kuona mafanikio mengi, yafuatayo ni baadhi ya mafanikio yatakayochochea ushindi wa kishindo na kumfanya JPM achukue kura zote hapa mkoani Shinyanga.
- Ukarabati wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga: Ukarabati wa hospitali hii umepanua wigo wa utoaji wa huduma bora na za kisasa za afya katika mkoa huu. Katika hili wanaShinyanga hawataacha kumpa kura JPM.
- Kuweka taa za umeme wa jua katika barabara za halmashauri za Shinyanga: Usalama wa watumiaji wa barabara umeimilika, usiku umekua mchana pale Shinyanga. Nani atapiga kura kwa wapinzani?
- Ujenzi wa maghala na vihenge vya kisasa vyenye uwezo wa kuhifadhi tani 35,000 katika mkoa wa Shinyanga: Ni jambo la kujivunia na kushukuru, wakulima wanasema katika hili wameipa tano serikali ya awamu ya tano na wataichagua tena kwa miaka mitano ijayo.
- Kuboresha makazi ya wazee kwa kukarabati na kujenga miundombinu mipya katika makazi ya wazee ya Kolandoto: Wazee hawajasahaulika, wanaishi katika makazi bora. Bado kura zitaenda kwa JPM, hawataweza kumuacha.
- Kuimarisha barabara zenye kwa kiwango cha lami katika manispaa ya Shinyanga: Barabara pale manispaa zina lami safi na imara, unasafiri bila shida huku ukikumbuka idadi ya ng’ombe ulizonazo. Hapa wapinzani wameshapigwa.
- Kurejeshwa kwa mali za vyama vya ushirika zilizokuwa zimeuzwa kiholela na nyingine kuporwa zikiwemo nyumba za makazi, maghala, viwanda na viwanja: Chama Kikuu cha Ushirika SHIRECU Ltd pale Shinyanga kinashuhudia bila kupepesa macho, hata kampeni zikiwa miaka miwili nawahakikishieni wanaushirika watampa kura JPM.
- Kuhamasisha ufugaji wa samaki katika mkoa wa Shinyanga ambapo mabwawa 103 yamejimbwa na kujengwa: Wafugaji wa samaki wao wanasema JPM anatosha, leo wanaenda kusikiliza sera thabiti kwa miaka mitano ijayo. Hawa wana mapenzi ya dhati na JPM hawataweza kumsaliti.
- Kuboresha huduma za machinjio kwa kujenga machinjio ya kisasa katika halmashauri ya Shinyanga: Niliwasikiliza kwa makini na utulivu wafanyabiashara pale machijioni, walilisisitiza waziwazi kura zao kwa JPM. Sioni kama kuna mgombea urais atawabadilisha akili.
- Kutengwa kwa maeneo rasmi kwa ajili ya wajasiriamali wakiwemo mama lishe na wauza mbogamboga kufanyia biashara: Mkoa wa Shinyanga ni moja ya mikoa ambayo maeneo yametengwa, hawa nao wana mapenzi yaliyoshiba na yakashibana na JPM, wapinzani wajipange mikoa mingine pale Shinyanga wataaibika wakiwa na miwani ya mbao.
- Ujenzi wa mabwawa umeanza kutekelezwa, ikiwemo bwawa la Seke Ididi: Mradi huu wa mabwawa ni kwa ajili ya kutatua kero ya maji. Je unahisi JPM atatoswa na wanaShinyanga jibu ni moja HAPANA.
- Kuanzishwa kwa vituo vya huduma ya mkono kwa mkono (One stop centres) ili kulinda haki za wanawake katika mkoa wa Shinyanga: Vituo hivi ni mfumo wa kuweka na kuimarisha haki kwa wanawake, kupitia hili kinamama watampa kura JPM.
JPM atashinda kwa kura zote pale Shinyanga, tuombe Mwenyezi Mungu atujalie uzima tushuhudie ushindi huu wa kishindo pale Shinyanga.
Nitarejea baadae ngoja niendelee kumsikiliza JPM kupitia matangazo ya moja kwa moja. Mungu atubariki sote.
Wako Baraka Mina.
Email: barakamina20@gmail.com
Hapana, unaweza kufafanua ni mahali gani kuna ukabila?Ukabila unamponza.
Tukitaka kula nyama tusubiri banda lijae. Maendeleo yanakuja barabara zinaendelea kukarabatiwa.Mbona makao makuu ya mkoa wa shinyanga,yaani kahama haina taa barabarani,wala lami mitaani ,walibugi wapi?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Rais Magufuli amefanya kazi kwa weledi, uaminifu na kuleta maendeleo ya kitaifa yenye tija kwa ustawi wa taifa letu.Tumekusikia UVCCM kojoa ukalale maana wewe bado ni katoto hujakua bado.
Kazi alizofanya ni kama kazi tu wengine walisofanya wala hakuna maajabu yoyote ila huko kwenye weledi na uaminifu sasa ni chumvi na ndimu tu. Miradi yake mingi kwa kweli haikufata taratibu za kitaaluma zaidi bali imelenga mikakati ya kisiasa zaidi na kwenye uaminifu hapana nakataa maana kumekuwa na usiri sana tena usio wa lazima juu ya utekelezaji wake kuanzia kwenye tenda na manunuzi yake haikufuata utaratibu wa kisheria tuliojiwekea. Hivyo ninaconclude kuwa hakuna maajabu! Ni usanii tu na kiini macho tena tumepigwa kweli kweli!!!Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Rais Magufuli amefanya kazi kwa weledi, uaminifu na kuleta maendeleo ya kitaifa yenye tija kwa ustawi wa taifa letu.
Amechinja watu wengi kinyama msimtetee muuaji.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Rais Magufuli amefanya kazi kwa weledi, uaminifu na kuleta maendeleo ya kitaifa yenye tija kwa ustawi wa taifa letu.
Na Baraka Mina.
Waingereza wanasema “Seeing is believing” yaani “kuona ni kuamini”. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari John Pombe Joseph Magufuli siku ya leo (03/09/2020) majira ya tano asubuhi kwenda saa sita mchana atakuwa anawasili katika viwanja vya Kambarage mkoani Shinyanga kwa ajili ya kuendelea na kampeni za kuomba ridhaa ya kuwa Rais kwa kipindi cha pili kwa mwaka 2020 – 2025.
Nimefika mkoani Shinyanga na kuona mafanikio mengi, yafuatayo ni baadhi ya mafanikio yatakayochochea ushindi wa kishindo na kumfanya JPM achukue kura zote hapa mkoani Shinyanga.
- Ukarabati wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga: Ukarabati wa hospitali hii umepanua wigo wa utoaji wa huduma bora na za kisasa za afya katika mkoa huu. Katika hili wanaShinyanga hawataacha kumpa kura JPM.
- Kuweka taa za umeme wa jua katika barabara za halmashauri za Shinyanga: Usalama wa watumiaji wa barabara umeimilika, usiku umekua mchana pale Shinyanga. Nani atapiga kura kwa wapinzani?
- Ujenzi wa maghala na vihenge vya kisasa vyenye uwezo wa kuhifadhi tani 35,000 katika mkoa wa Shinyanga: Ni jambo la kujivunia na kushukuru, wakulima wanasema katika hili wameipa tano serikali ya awamu ya tano na wataichagua tena kwa miaka mitano ijayo.
- Kuboresha makazi ya wazee kwa kukarabati na kujenga miundombinu mipya katika makazi ya wazee ya Kolandoto: Wazee hawajasahaulika, wanaishi katika makazi bora. Bado kura zitaenda kwa JPM, hawataweza kumuacha.
- Kuimarisha barabara zenye kwa kiwango cha lami katika manispaa ya Shinyanga: Barabara pale manispaa zina lami safi na imara, unasafiri bila shida huku ukikumbuka idadi ya ng’ombe ulizonazo. Hapa wapinzani wameshapigwa.
- Kurejeshwa kwa mali za vyama vya ushirika zilizokuwa zimeuzwa kiholela na nyingine kuporwa zikiwemo nyumba za makazi, maghala, viwanda na viwanja: Chama Kikuu cha Ushirika SHIRECU Ltd pale Shinyanga kinashuhudia bila kupepesa macho, hata kampeni zikiwa miaka miwili nawahakikishieni wanaushirika watampa kura JPM.
- Kuhamasisha ufugaji wa samaki katika mkoa wa Shinyanga ambapo mabwawa 103 yamejimbwa na kujengwa: Wafugaji wa samaki wao wanasema JPM anatosha, leo wanaenda kusikiliza sera thabiti kwa miaka mitano ijayo. Hawa wana mapenzi ya dhati na JPM hawataweza kumsaliti.
- Kuboresha huduma za machinjio kwa kujenga machinjio ya kisasa katika halmashauri ya Shinyanga: Niliwasikiliza kwa makini na utulivu wafanyabiashara pale machijioni, walilisisitiza waziwazi kura zao kwa JPM. Sioni kama kuna mgombea urais atawabadilisha akili.
- Kutengwa kwa maeneo rasmi kwa ajili ya wajasiriamali wakiwemo mama lishe na wauza mbogamboga kufanyia biashara: Mkoa wa Shinyanga ni moja ya mikoa ambayo maeneo yametengwa, hawa nao wana mapenzi yaliyoshiba na yakashibana na JPM, wapinzani wajipange mikoa mingine pale Shinyanga wataaibika wakiwa na miwani ya mbao.
- Ujenzi wa mabwawa umeanza kutekelezwa, ikiwemo bwawa la Seke Ididi: Mradi huu wa mabwawa ni kwa ajili ya kutatua kero ya maji. Je unahisi JPM atatoswa na wanaShinyanga jibu ni moja HAPANA.
- Kuanzishwa kwa vituo vya huduma ya mkono kwa mkono (One stop centres) ili kulinda haki za wanawake katika mkoa wa Shinyanga: Vituo hivi ni mfumo wa kuweka na kuimarisha haki kwa wanawake, kupitia hili kinamama watampa kura JPM.
JPM atashinda kwa kura zote pale Shinyanga, tuombe Mwenyezi Mungu atujalie uzima tushuhudie ushindi huu wa kishindo pale Shinyanga.
Nitarejea baadae ngoja niendelee kumsikiliza JPM kupitia matangazo ya moja kwa moja. Mungu atubariki sote.
Wako Baraka Mina.
Email: barakamina20@gmail.com
Tuache propaganda na kuichafua Serikali, Rais JPM hachafanya kitu kama hiki. Kama una ushahidi upeleke katika mamlaka husika.Amechinja watu wengi kinyama msimtetee muuaji.
Tunasonga mbele pamoja, miaka mitano tena kwa JPM.Heil JPM
Tunasonga mbele pamoja, miaka mitano tena kwa JPM.

Tutashinda, tuna sera imara na zenye tija. CCM chaguo la wananchi.kwa nguvu zote ....
Viva JPM
Imeandikwa "Usimshuhudie jirani yako uongo." Umekuja katika uwanja huu ukiwa na hoja 6 ambazo hazina mashiko. Tutaendelea kuongea ukweli daima.CCM WENGI HAWATAINGIA MBINGUNI
Nimeandika thread hii kwa makusudi kutoka na matendo maovu ya watu wanaoitwa wana CCM. Ili mtu aweze kuwa ccm lazima akubali kuwa na sifa hizi zifuatazo.
1-Mnafiki sana, Yesu alisema ole wenu waandishi na mafarisayo kwa kuwa mnasafisha kikombe kwa nje ila kwa ndani kimejaa uchafu.
2-Muongo na mbadilisha kauli za watu wengine. asilimia 90 za wana ccm ni waongo sana sana
3-Muaji na mkatili. sasa hivi wana ccm wengi kuuwa kwao ni sifa ndio maana unakuta mtu anafurahia kushambuliwa kwa Lissu
4-Mueneza chuki na ubaguzi. ccm wengi wanaeneza chuki hasa viongozi wao wanaendelea kuwaaminisha wananchi kuwa wao ccm ndio watu na Raia wa Tanzania wengine wana uraia wa nchi mbili, kwa hiyo wanakusudia kuleta vurugu.
5-Mwizi na haramia mkubwa. ccm karibuni wote ni wezi ndio maana wanateteana ili asijekutokea mwingine au chama kingine kikawashitaki.
6-Propaganda za uongo. Takribani wana ccm wote ni watu wakueneza propaganda za uongo, ni wazushi sana sana.
Wana sifa nyingi mbaya unaweza kuendeleza orodha hii....
Ndio maana nasema kuwa ccm ni vigumu kuingia mbingun
Kampeni huambatana na propaganda. Wanaoichafua Serikali ni wengi. Serikali ya awamu ya tano iko imara na Rais Magufuli atashinda uchaguzi kwa awamu ya pili. Mafaniko makubwa na yenye tija yanaonekana.
Hakuna kitu kama hicho, Tume ni huru na siku ya leo CCM tunazindua kampeni pale Zanzibar.Kwa mbinu za kina jecha kufuta uchaguzi! Hizo mtashinda sana tu
Tutashinda, tuna sera imara na zenye tija. CCM chaguo la wananchi.
Mapema sana.kila saa na kila siku
98% bila shida
viva Magu