Rubo Motors Tanzania ni wataalamu wanaoaminika wa uagizaji wa magari kutoka Japan, Dubai, Singapore, Uk na China
Tupe maelezo(Specification) ya gari unalohitaji tutakutafutia kutoka kwenye masoko yote yaliyopo nje au kwa kuchukua moja kwa moja kutoka mnadani.
Magari tuagizayo ni Fuso,
Canter,Hino,Isuzu,Rosa bus,Coaster,Nissan,na magari madogo ya kutembelea.
Malipo ni awamu mbili. ambayo ni malipo ya awali na malipo wakati gari litakapofika Tanzania.
Tutakujulisha hatua zote mpaka unapata gari lako likiwa limesajiliwa
Tutakupatia bima ya mwaka bure
Triangle Bure
Fire extinguisher bure
Tunapatikana Buhongwa, Mwanza
Kwa wale wa kanda ya ziwa usipoteze muda wako kwenda Dar es salaam
Fika ofisini kwetu Buhongwa na utapata huduma nzuri
Walioko mikoa mingine tutakuletea gari hadi mkoani kwako.
Karibu tukuhudumie
Mawasiliano: Piga/Whatsup: 0757930069
View attachment 2607458View attachment 2607459View attachment 2607464View attachment 2607465View attachment 2607467View attachment 2607466View attachment 2607468View attachment 2607470View attachment 2607471