Kwa mahitaji ya kuagiza magari kutoka Japan,Dubai,na UK, tuone "Rubo Motors

Mchina kamaliza soko la scania na fuso mende, acha gari new brand ni chuma unapiga miaka mitano haijapata shida yoyote service na tayiri tu.
Wadanganye hizo mburukenge zinaogopa milima mno hakuna gari hapo
 
Nje ya mada kwanini hizi bus za mikoani zina piga kelele kwenye kuweka gia
 
Agiza Toyota Harrier

| 2AZ | 2,360cc | 2006 | 123,000Kms | 2WD | 5 Seats |

Bei: 28,800,000/= pamoja na usajili.

Malipo ya awali: 14,600,000/=
Malipo ya pili: 14,200,000/=

Ofisi ipo Buhongwa, Mwanza
Piga/Whatsup: 0757930069
Picha zaidi nicheki whatsupView attachment 2637176

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…