Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

pale square meter moja ni elfu kumi. Hiyo heka kwa milioni tano utaitolea wapi?
Duh,uko wapi mkuu??eka moja ni 4000 square metre.kwa madai yako ni milioni 4 si ndio?kuna vigezo vingi vya ziada mkuu
 
Nahitaji eneo lililopimwa bajet yangu mil3 ila sikufichi mimi ni mwanajeshi ulinidhulumu utarud kuwahadithia humu yatakayokusibu. Natanguliza shukrani
Hahahaha mkuu mbona tambo za kizamani izo ata si tulishaziacha toka niko 824jkt kanembwa miaka iyo.nakuomba PM tuyajenge
 
Duh,uko wapi mkuu??eka moja ni 4000 square metre.kwa madai yako ni milioni 4 si ndio?kuna vigezo vingi vya ziada mkuu
Nimempa taarifa kuwa yeye anataka heka moja kwa 5mln pale mkalama area. nimempa taarifa kuwa mkalama walikuwa wanauza 1sqr meter kwa elfu kumi. je nimekosea wapi?
 
Nimempa taarifa kuwa yeye anataka heka moja kwa 5mln pale mkalama area. nimempa taarifa kuwa mkalama walikuwa wanauza 1sqr meter kwa elfu kumi. je nimekosea wapi?
Vizuri sana mkuu.
 
sawa.
 
Mimi nipo interested kununua ....ila nataka kufahamu background ya umiliki wako je ? ulinunua ama ulirirhishwa? na una docs
 
Utabaki ivo ivo mkuu darcity.utapata mrejesho kwa watakaonunua
Hapana mkuu, umenifurahisha style yako ulivyoanza kwa kichwa kinachovutia then nakuja realize unauza kiwanja. Natamani kununua na kuwekeza Dom ila nafasi imenibana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…