Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

Huduma za jamii zipo mkuu(umeme, maji)

Hiyo ekari ndo zile za 4000 mita square mkuu?
 
Mikoa mongine tabu tupu, sisi tusiopenda kukaa ndani kivuli cha miti itakuwaje kama uoto wenyewe ndo huo
Umewahi fika dodoma mkuu?Kama umewahi fika basi naamini utakuwa ushaona miti mingi tu na vivuli pia.kuna aina na miti iendanayo na uoto huo!!dont worry mkuu
 
Hela ndo tatizo Steve, kama we ulivokwama ndo hivo tumekwama wengi..... Usishangae kushusha hadi laki bado tukakwama
Tusikate tamaa Evelyn ngoja tupambane kwanza.tunaweza pata suluhu mkuu
 
Poa mkuu na kila la kheri. Ila ungelipimisha thamani ingeongezeka zaidi. Kwa umbali huo toka mjini, likiwa limepimwa utaliza fasta kuliko kama halijapimwa.
Asante mkuu.ushauri wako ni mzuri na uko poa sana!!!CDA walipigwa chini manispaa wanataka kusimamia,nafikiri wanaanza mwezi wa 8 kupima kutokana na taarifa nilizonazo
 
Unajua maana ya uoto?

Kama unaelewa maana ya uoto utakuwa unajua jinsi uoto wa asili unavyoaksi uoto wa kutengeneza.
Sawa mkuu,najua you want to find grounds to subdue me.The KEY is miti inapandwa na watu wanapata vivuli,kabla hujafika kwenye ilo enelo unaloliona kwa picha kuna makazi ya watu na miti mingi tu.karibu kwa biashara mkuu
 
Serikali izuie watu kuuza mashamba au ardhi ambayo haiko kwenye plan ili kuzuia ukuaji wa maeneo yasiyopangwa (slums)

We need to see a Dodoma master plan kabla ya kuanza kuuziana na kuharibu makao makuu kama ambavyo tumeharibu Dar, Arusha na Mwanza
 
Mwamko upo mkuu ila sema bado hauja gain momentum
sihdani kama sehemu ambayo mkuu anasema tahamia na watu wamehamia afu bado kiwanja kiuzwe bei ndogo hivyo

Kutoka city center hadi bunju ni km 40 ila bei ya kiwanja cha 40/20 ni mamilioni
 
Huduma za jamii zipo mkuu(umeme, maji)

Hiyo ekari ndo zile za 4000 mita square mkuu?
Exactly mkuu.4000mita square ndio maana ya kitaalam ya eka!!!acha zile hatua 70 kwa 70 which was local method katika kureplace yard units!!kwa upande wa maji ya yapo pembeni kidogo tu.na umeme upo pia
 
Exactly mkuu.4000mita square ndio maana ya kitaalam ya eka!!!acha zile hatua 70 kwa 70 which was local method katika kureplace yard units!!kwa upande wa maji ya yapo pembeni kidogo tu.na umeme upo pia
Shukrani mkuu, ngoja ngoja nikusogezee mteja mfanye kazi.
 
Back
Top Bottom