Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewahi fika dodoma mkuu?Kama umewahi fika basi naamini utakuwa ushaona miti mingi tu na vivuli pia.kuna aina na miti iendanayo na uoto huo!!dont worry mkuuMikoa mongine tabu tupu, sisi tusiopenda kukaa ndani kivuli cha miti itakuwaje kama uoto wenyewe ndo huo
Asante mkuu.ushauri wako ni mzuri na uko poa sana!!!CDA walipigwa chini manispaa wanataka kusimamia,nafikiri wanaanza mwezi wa 8 kupima kutokana na taarifa nilizonazoPoa mkuu na kila la kheri. Ila ungelipimisha thamani ingeongezeka zaidi. Kwa umbali huo toka mjini, likiwa limepimwa utaliza fasta kuliko kama halijapimwa.
Akupandie nani miti?Mikoa mongine tabu tupu, sisi tusiopenda kukaa ndani kivuli cha miti itakuwaje kama uoto wenyewe ndo huo
Napiga maombi mkuu, ramli sizijuiYa nini mkuu?au unanipigia Ramli nipate?
Unajua maana ya uoto?Akupandie nani miti?
Sawa mkuu,najua you want to find grounds to subdue me.The KEY is miti inapandwa na watu wanapata vivuli,kabla hujafika kwenye ilo enelo unaloliona kwa picha kuna makazi ya watu na miti mingi tu.karibu kwa biashara mkuuUnajua maana ya uoto?
Kama unaelewa maana ya uoto utakuwa unajua jinsi uoto wa asili unavyoaksi uoto wa kutengeneza.
sihdani kama sehemu ambayo mkuu anasema tahamia na watu wamehamia afu bado kiwanja kiuzwe bei ndogo hivyoMwamko upo mkuu ila sema bado hauja gain momentum
Exactly mkuu.4000mita square ndio maana ya kitaalam ya eka!!!acha zile hatua 70 kwa 70 which was local method katika kureplace yard units!!kwa upande wa maji ya yapo pembeni kidogo tu.na umeme upo piaHuduma za jamii zipo mkuu(umeme, maji)
Hiyo ekari ndo zile za 4000 mita square mkuu?
Duh.. Dodoma ni kama Jangwani kabisa.
Mkuu vipi, eneo limepimwa??
Shukrani mkuu, ngoja ngoja nikusogezee mteja mfanye kazi.Exactly mkuu.4000mita square ndio maana ya kitaalam ya eka!!!acha zile hatua 70 kwa 70 which was local method katika kureplace yard units!!kwa upande wa maji ya yapo pembeni kidogo tu.na umeme upo pia