Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huku some years to come bei itafika tu hukosihdani kama sehemu ambayo mkuu anasema tahamia na watu wamehamia afu bado kiwanja kiuzwe bei ndogo hivyo
Kutoka city center hadi bunju ni km 40 ila bei ya kiwanja cha 40/20 ni mamilioni
Ukijua kuwa jangwani uarabuni wanalima utagundua sio lazima uoto wa asili uakisi uoto wa kutengenezwaUnajua maana ya uoto?
Kama unaelewa maana ya uoto utakuwa unajua jinsi uoto wa asili unavyoaksi uoto wa kutengeneza.
Nahisi umenielewa ila unajaribu kuweka ukinzani ili kuonesha unajua nini!Ukijua kuwa jangwani uarabuni wanalima utagundua sio lazima uoto wa asili uakisi uoto wa kutengenezwa
Pia sio kila uoto wa asili uwe na miti mikubwa au misitu
August of this very Year manispaa itaanza kazi iyo.kulikua na mgogoro manispaa vs CDA!!The Municipal is going to take over from CDA and carry on its duties with regard to Land.so usijali mkuuSerikali izuie watu kuuza mashamba au ardhi ambayo haiko kwenye plan ili kuzuia ukuaji wa maeneo yasiyopangwa (slums)
We need to see a Dodoma master plan kabla ya kuanza kuuziana na kuharibu makao makuu kama ambavyo tumeharibu Dar, Arusha na Mwanza
Sawa, asante sana. Ngoja nicheki na wadau...nitakurudia kwa PMHapana mkuu hufiki nala(nala ni mbali).pale pale machinjioni kwa ndani kidogo!!!pia ukihitaji chini ya eka napima,ni maelewano tu mkuu.karibu sana
Mil 6 kwa ekari hilo ni shambaMil sita ndo bei ya kutupa mkuu kwa usawa huu wa Magu?
Mkuu ukiona location ya eneo utanihurumia.naamini watajitokeza tu wadauBei yako siyo mbaya kiukweli. Lkn Magu kabana sana. M 6 unazipataje usawa huu mkuu?? Hakuna kinachouzika wala kununulika kwa sasa. Kwahiyo poza kidogo bei urudishe japo nusu hasara. Maana huko tuendako utakuja kugawa bure.
We ndo hujanielewa nlimaanisha ni eneo kubwa kwa hiyo beiTukupe elimu inaonekana huelewi.ekari kwa lugha ya kitaalamu ni 4000 mita square!