Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

Kwa mahitaji ya nyumba, mashamba, viwanja vya aina zote, fremu, maofisi Dodoma iwe kupanga au kununua tafadhali wasiliana nami

sihdani kama sehemu ambayo mkuu anasema tahamia na watu wamehamia afu bado kiwanja kiuzwe bei ndogo hivyo

Kutoka city center hadi bunju ni km 40 ila bei ya kiwanja cha 40/20 ni mamilioni
Hata huku some years to come bei itafika tu huko
 
Unajua maana ya uoto?

Kama unaelewa maana ya uoto utakuwa unajua jinsi uoto wa asili unavyoaksi uoto wa kutengeneza.
Ukijua kuwa jangwani uarabuni wanalima utagundua sio lazima uoto wa asili uakisi uoto wa kutengenezwa

Pia sio kila uoto wa asili uwe na miti mikubwa au misitu
 
Ukijua kuwa jangwani uarabuni wanalima utagundua sio lazima uoto wa asili uakisi uoto wa kutengenezwa

Pia sio kila uoto wa asili uwe na miti mikubwa au misitu
Nahisi umenielewa ila unajaribu kuweka ukinzani ili kuonesha unajua nini!

Ahsante kwa kuelewa.
 
Serikali izuie watu kuuza mashamba au ardhi ambayo haiko kwenye plan ili kuzuia ukuaji wa maeneo yasiyopangwa (slums)

We need to see a Dodoma master plan kabla ya kuanza kuuziana na kuharibu makao makuu kama ambavyo tumeharibu Dar, Arusha na Mwanza
August of this very Year manispaa itaanza kazi iyo.kulikua na mgogoro manispaa vs CDA!!The Municipal is going to take over from CDA and carry on its duties with regard to Land.so usijali mkuu
 
Hapana mkuu hufiki nala(nala ni mbali).pale pale machinjioni kwa ndani kidogo!!!pia ukihitaji chini ya eka napima,ni maelewano tu mkuu.karibu sana
Sawa, asante sana. Ngoja nicheki na wadau...nitakurudia kwa PM
 
Bei yako siyo mbaya kiukweli. Lkn Magu kabana sana. M 6 unazipataje usawa huu mkuu?? Hakuna kinachouzika wala kununulika kwa sasa. Kwahiyo poza kidogo bei urudishe japo nusu hasara. Maana huko tuendako utakuja kugawa bure.
 
Mkuu ukiona location ya eneo utanihurumia.naamini watajitokeza tu wadau
 
Back
Top Bottom