Kwa mahusiano na mwanaume uliyemzidi Miaka miwili ni taabu

Kwa mahusiano na mwanaume uliyemzidi Miaka miwili ni taabu

Ku date na mwanaume ambae umemzidi miaka 2 it’s very tough kwakweli, though he is so caring and showers me with love 🥰😘 ila naona ni watoto hawajawa matured.
Ugumu zaidi unakuja kwenye ku get intimate 😮‍💨 Yani Sijui unaonaje vile 😂😂😂😅😅 . Au it’s only my mentality Lol .
Ila wanajitahidigi kufanya big man things 😉
Watu wa Dar mna vituko
 
Nikiwa kijana wa 25 nilikula wanawake wa miaka 30-35. Bongo hata nje.
I tell you, hmna win side kama kijana mdogo wa kiume kula umri mkubwa. Either utulie nae au ww awe amekuchezea. Umri huo they don't loose anything. Kwanza anashukuru ww kumdharau. Na huwa mwanaume haumii kwa mwwanamke aliyemzidi umri. Anaumia umri mdogo ukampiga chini. Have a nice thread
 
Back
Top Bottom