Kwa mahusiano na mwanaume uliyemzidi Miaka miwili ni taabu

Kwa mahusiano na mwanaume uliyemzidi Miaka miwili ni taabu

Ku date na mwanaume ambae umemzidi miaka 2 it’s very tough kwakweli, though he is so caring and showers me with love 🥰😘 ila naona ni watoto hawajawa matured.

Ugumu zaidi unakuja kwenye ku get intimate 😮‍💨 Yani Sijui unaonaje vile 😂😂😂😅😅 .

Au it’s only my mentality Lol.

Ila wanajitahidigi kufanya big man things 😉
Inaonekana hakuna mwanamke mgumu kuishi naye km ww. Hebu angalia hv vikingereza vyako vya kuchomekea.
 
Hapo we jua unapoteza muda wako tu na haupo serious na maisha yako ya kimahusiano. Mwanamke unatakiwa kuzidiwa umri na partner wako tena kuanzia miaka 5 ili mambo yawe bam bam. Wewe unakwenda kuchukua mdogo wako.

Watu ambao tu wamelingana umri au mwanaume akiwa mkubwa kwa miaka 2 bado tu huyo binti atamshindwa maana ujuaji wenu na vituko inatakiwa mtu ambaye ni matured enough kukuhandle.

Sasa kama unabisha komaa utakuja niambia.
 
Back
Top Bottom