Kwa mahusiano na mwanaume uliyemzidi Miaka miwili ni taabu

Kwa mahusiano na mwanaume uliyemzidi Miaka miwili ni taabu

Ku date na mwanaume ambae umemzidi miaka 2 it’s very tough kwakweli, though he is so caring and showers me with love 🥰😘 ila naona ni watoto hawajawa matured.
Ugumu zaidi unakuja kwenye ku get intimate 😮‍💨 Yani Sijui unaonaje vile 😂😂😂😅😅 . Au it’s only my mentality Lol .
Ila wanajitahidigi kufanya big man things 😉
Siku akipata size yake usizingue, u act kama mama mkwe
 
ila mkiwa umri mnalingana mawazo yanakuwa sawa.

Mara nyingi, na heshima pia inapunguwa hasa kwa mwanamke

Anachukulia ata Nambia nini huyo Niko s1awa
Age is a number tu, angalia namna mwanaume wako anavyoku treat,,

Unaweza kuwa na mwanaume amekuzidi 7 yrs n above lakini the way anavyoku treat ikamfanya kuonekana kama bado hajawa matured enough.

Na unaweza kuwa na kijana, umemzidi age ''Lakini the way treats you ikamfanya kuonekana mwanaume zaidi ya huyo hapo juu 👆.
 
Kama kwa avatar hapo ni wewe..
Na bado huyo uliye mzidi umri miaka miwili unasema ni mtoto au bado ajakua.
Basi wewe utakua unashida
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom