Kwa maisha wanayoishi ndugu zake Harmonize halafu nikimuona anatoa mil 9 kwa wengine, inaniuma sana

Kwani akiwapa ndugu hawezi kutengeneza hiyo brand?
 
Mwisho wa ukomo wa kufikiri wako unasikitisha kwani kila mtu si anamiguu mikono na macho acha atumie hela zake kwanini umpangie wakati haukumsaidia kutafuta eti ndugu we unakaa dunia ya wapi kila mtu atafute kwa jasho lake, we ndugu zako unawapa hela kila mwezi! Tufiakwa.
 
Kwani akiwapa ndugu hawezi kutengeneza hiyo brand?
kwani unadhani hawasaidii ndugu zake? Kile wanachofanya kwenye harusi kinaratibiwa na WCB na hata pesa utolewa na WCB ile ni mbinu ya kuwafanya waonyeshe kuwa juu kithamani na hivyo hata show zao wanachaji kwa bei ya juu kwa sababu ya vulue yao wanayojitengenezea mbele ya jamii. Huwezi kuelewa kirahisi hii marketing strategy kwa kuwa may be huna upeo ya haya masuala
 
Ndio usitegemee ndugu sanaa pambana na hali yako.
Maisha ni wewe kupanda ni wewe juu yako hata kushuka hivi ingekuwa wewe ndugu yako anakuacha halafu anampa mwingine kile ulichokitegemea for all in your life ungefanyaje halafu akuambie hapo wewe mdogooo.
Pambana na hali yako usinipigie wala usiniandikie email yeyote .
Nimekublock mimi naishi na hawa ni ndugu zangu nasio wewe.
If is u what will you do.
 
Kwani ao ndugu walimsaidiaje kias kwamba iwe lazima awasaidie kama unavyotaka wewe mbona mama yake na wadogo zake wanakula bata?
 
Kumbe romy jons ni ndugu yake Mond?
 
baba hayumo ?ina maana wazazi ni mama tu?shangazi?bibi?babu ?wadogo zake au kaka zake? si watu wa kusaidia hao?mkuu u know nothing about family!
Yawezekana wewe ndo hujui kitu kuhusu family.... familia sio vyeo tu vya undugu, familia ni matendo for as long as hao waliokua nae katika downs na kumpa thamani kama ndugu wanasaidiana inatosha. Hata uwe dada au kaka wa damu for as long hukuwepo pale kwaajili yangu nilipokuhitaji na ulikua na uwezo usitegemee yakininyookea ntajitia kifua mbele kujihusisha na mambo yake.
Mtegemea cha ndugu hufa masikini kila mtu apambane na hali yake msaada ni nyongeza tu
 
we unajuaje hasaidi ndugu ujue watu wengine mnazengua sana. NAWAAMBIA HAKUNA MTU ANAE MFAHAMU HARMONIZE ZAIDI YA YEYE MWENYE NYIE WENGINE NI WAPAMBET TU.
 
Alitumwa na Diamond. Fuatilia vizuri
 
Ywewe ndugu zako walivyo na shida hivi yaani unanunua bundle na kumsema huyu kijana. Bora hiyo pesa ya bundle ungewasaidia nduguzo.
 
Wakati mwingine watu maarufu hufanya hivyo(kutoa pesa au misaada) kwa ajili ya kujenga majina yao. Sio kama wana upendo wa kweli kwa hao wanaowasaidia, bali ni kwa kuangalia jinsi inavyoweza kuwatangaza.
 
Wewe utakuwa mmoja wapo wa ndugu zake sasa unalilia na kulazimisha kusaidiwa!!!!
 
Ushauri mzuri
 
Upatikanaji wa pesa tena za haraka haraka una siri kubwa sana...

Labda ndiyo alivyotumwa hivyo...


cc: mahondaw
 
Vingi ya vinachofanywa kwenye sherehe za harusi hua ni planned.
So havina uhalisia, Hata Chembe.
Kila msanii anapambana na hali yake mwenyewe.
Nashangazwa na unavyoamini kila kitu. Wakati yale ni maigizo tu ya kujenga jina.

Acha Kua fala..
 
Kama hukumsaidia kwenye kutafuta,usimpangie matumizi.
 
Mi nashauri badalaa ya kukaa Mjini anaimba imba tu Bora akawasaidie ndg zake kulima mihogo[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…