Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Kwa wanaowafahamu ndugu zake na Konde boy Mtwara halafu Dogo akifika Dar anagawa Pesa kwa wengine inaniuma sana hata kama siyo ndugu zangu! Ingefaa dogo aanze kuwasaidia ndugu zake kwanza wote watoke kimaisha, ndipo umwage pesa ovyo ovyo kuliko kufanya hivi wakati ndugu zake walio wengi tunaowafahamu bado wanapambana na hali zao kwa kulima mhogo huko Mtwara
Kwa watu wa Mtwara mtaelewa ninachokisema na kukimaanisha hapa, tofauti na wanaume wa Dar
Itikadi za ubinafs ndugu yako huwez kumuacha kumsaidia ikiwa unauwezo wa kumsaidia..ndio mana wahindi wanawatuma coz ya ubinafsiMkuu kumsaidia mtu hata kama ni nduguyo si lazima ni hiari sasa wote wa mwangalie yeye kwa nini na wao wasijitahidi angalau wakatoka ki vingine? Nitamlaumu tu kama atakuwa kasahau mama basi
Kwanza ni baba na mama tu hawa dada na kaka wanaingia kwenye equation sababu ya baba na mama.Wafanyekazi nao wanisaidie khaa kwa hiyo mtu asifurahie maisha kwa sababu ya wavivu wengine alah!Kwa Mimi ukiwatoa baba na mama, kaka zangu na dada zangu! Hao ndugu wengine wapambane na hali zao
Una uhakika gani kwamba hawasaidii ulitaka aite vyombo vya habari ili watoe akiwahudumia? Hao ndugu wamelalamika? Kumbuka aliyeleta huu Uzi si ndugu, pia narudia msaada si lazima ni hiari, wewe kama unajilazimisha kuhudumia ndugu endelea kujilazimisha lakini Mimi nitasaidia pale ninapojisikia na kamwe sitojilazimishaItikadi za ubinafs ndugu yako huwez kumuacha kumsaidia ikiwa unauwezo wa kumsaidia..ndio mana wahindi wanawatuma coz ya ubinafsi
Umeambiwa wanalima NA wako hai, inamaanisha wanajitahidi. Huyu ndugu H angeweza kuwasaidi kuwekeza kwenye hicho kilimo chao, kuwanunulia trekta NA kuongeza mashamba, hiyo familia ingebadilika kimaisha.