Upembuzi Yakifu
Member
- Jul 21, 2013
- 13
- 13
Wengi sana wamepata mafanikio baada ya kuoa na kupata watoto.Na je kuna uhusiano gani kati ya kuoa na kupata mafanikio baada ya kuoa ??
Ndoa barakaNa je kuna uhusiano gani kati ya kuoa na kupata mafanikio baada ya kuoa ??
ExactlyKabla ya kuoa angalia sana mwenza wako kama ana hofu ya Mungu, angalia tabia zake, usipuuzie vitu vidogo ukiamini utambadilisha.
Ni vyema kuoa mtu ambae utaweza kumtolerate kwa hali yoyote, unaweza ukampenda mtu sana lakini ukashindwa kuishi nae huyu hufai kumuoa.
Ndoa ni zaidi ya mapenzi na zaidi ya pesa, Ndoa ni kitu ambacho kinatakiwa kikupe amani, utulivu wa nafsi, baraka na furaha.
Na wengine tumefilisika baada ya kuoaKuoa Ni kumuomba mungu tu akuwekee mkono wake.
Ukisubiri upate pesa ndio uoe, Unaweza ukafa na useja wako mpk unaingia kaburini.
Wengine pesa au Riziki wamezipata baada ya kuoa.