Kwa maisha ya kawaida ya Mtanzania, angalau awe na kipato cha shilingi ngapi kwa mwezi ndio aweze kuoa?

Kikubwa tu ni kuwa na uwezo wa kuingiza 70, 000 kwa siku!
 
Mkuu huu ushauri wako nimeshaufanyia KAZI kitambo ,jamii forum nikisima cha maarifa,yes,kuoa kupo Tu ,huwezi ukaoa MTU anahela boss ww unakua mtumwa wake January Tu December,nabado haoni thamani yako,au anakukandia everywhere!!Kua nawatoto kunapunguza pressure zandoa zisizo na afyakwa muoaji,

Kunaongeza room yakutafakari kwakina kabla yakuingia ktk lifelong commitment ya marriage!
 
Kuoa Ni kumuomba mungu tu akuwekee mkono wake.

Ukisubiri upate pesa ndio uoe, Unaweza ukafa na useja wako mpk unaingia kaburini.

Wengine pesa au Riziki wamezipata baada ya kuoa.

Unaweza ukawa unasubiri upate pesa ndipo uoe, kumbe Mungu anasubiri uoe ndipo akufungulie milango yako ya Neema…[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utatombewa tu kwa kipato hicho hiyo hata msela adiye na mke haimtoshi
 
Mkuu, kipato chochote? Sasa hyo mahari utalipa na nn?
 
Kuoa Ni kumuomba mungu tu akuwekee mkono wake.

Ukisubiri upate pesa ndio uoe, Unaweza ukafa na useja wako mpk unaingia kaburini.

Wengine pesa au Riziki wamezipata baada ya kuoa.
Haswaaaaah.
 
Kuoa Ni kumuomba mungu tu akuwekee mkono wake.

Ukisubiri upate pesa ndio uoe, Unaweza ukafa na useja wako mpk unaingia kaburini.

Wengine pesa au Riziki wamezipata baada ya kuoa.
Ni kweli asee...kila kitu ni kumuomba Mungu akuinue, maana mmh
 
Kwahiyo ulienda kutafuta watoto kwanza?[emoji1787][emoji1787][emoji38]
 
comment mrua sana hii

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…