Kwa maisha ya mjini ukizembea malezi unakuja kuwa na hasara ya watoto mbeleni hasa watoto wa kike

strongest

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2024
Posts
343
Reaction score
1,562
watoto wa mjini wanahitaji malezi serious sana vinginevyo ni hasara tupu mbeleni

nakua disappointed sana kuona blunders za uswahililini hasa kwa dar
kwa hawa watoto wakike ni ama wasome waje kua na kazi za maana
au waolewe na wanaume wanajielewe vinginevyo wapo kwenye risk ya kua hasara .

tupo kwenye generation ambayo imekosa ambition ya vitu vya maana manake ujingaujinga ndo unapewa promo.

mzazi kua mkali okoa kizazi
 
Huko nje ni wapi ambako watoto wa kike wanajielewa?

Malezi ya mtoto wa kike ni very complex matter,,, ukali wako kwake ni asilimia chache tu za malezi yake japo yanahitajika.. Ukiondoa ukali kwanza wewe unaishi vipi na huyo mkeo?

Japo kuna wasichana wa kipekee kwenye ufahamu wameishi mazingira magumu na hawakuharibikiwa ila usijifanye mwamba wa malezi ukaona unaweza kumshape mwanao kumbe ndo unampoteza,,,, we mkumbushe misimamo ya maisha mara kwa mara usichoke maana akili zao ni kama za kuku,,, halafu dont PREACH what you don`t PRACTICE...
 
Watoto wenu Wana walimu msiowajua Wala kuwaona.
Wape Simu wape TV wape PC.

Uliyoyakimbia nje utamkuta nayo yote kikubwa Atakuwa na Uoga tu.... Akitest na kuficha.
Atahitaji wiki nne tu kuwa Bonge la Kada.
 
we
Huko nje ni wapi ambako watoto wa kike wanajielewa?

Malezi ya mtoto wa kike ni very complex matter,,, ukali wako kwake ni asilimia chache tu za malezi yake japo yanahitajika.. Ukiondoa ukali kwanza wewe unaishi vipi na huyo mkeo?

Japo kuna wasichana wa kipekee kwenye ufahamu wameishi mazingira magumu na hawakuharibikiwa ila usijifanye mwamba wa malezi ukaona unaweza kumshape mwanao kumbe ndo unampoteza,,,, we mkumbushe misimamo ya maisha mara kwa mara usichoke maana akili zao ni kama za kuku,,, halafu dont PREACH what you don`t PRACTICE.

Huko nje ni wapi ambako watoto wa kike wanajielewa?

Malezi ya mtoto wa kike ni very complex matter,,, ukali wako kwake ni asilimia chache tu za malezi yake japo yanahitajika.. Ukiondoa ukali kwanza wewe unaishi vipi na huyo mkeo?

Japo kuna wasichana wa kipekee kwenye ufahamu wameishi mazingira magumu na hawakuharibikiwa ila usijifanye mwamba wa malezi ukaona unaweza kumshape mwanao kumbe ndo unampoteza,,,, we mkumbushe misimamo ya maisha mara kwa mara usichoke maana akili zao ni kama za kuku,,, halafu dont PREACH what you don`t PRACTICE...
ama asome au aolewe na mtu anaejielewa vinginevyo yupo kwenye hatari ya kua hasara
 
watoto wa mjini wanahitaji malezi serious sana vinginevyo ni hasara tupu mbeleni

nakua disappointed sana kuona blunders za uswahililini hasa kwa dar
kwa hawa watoto wakike ni ama wasome waje kua na kazi za maana
au waolewe na wanaume wanajielewe vinginevyo wapo kwenye risk ya kua hasara .

tupo kwenye generation ambayo imekosa ambition ya vitu vya maana manake ujingaujinga ndo unapewa promo.

mzazi kua mkali okoa kizazi
Mzazi akiwa mkali kama mtoto wa kike hana aibu na hayupo Tyr kunyooka ni bure
 
Huko nje ni wapi ambako watoto wa kike wanajielewa?

Malezi ya mtoto wa kike ni very complex matter,,, ukali wako kwake ni asilimia chache tu za malezi yake japo yanahitajika.. Ukiondoa ukali kwanza wewe unaishi vipi na huyo mkeo?

Japo kuna wasichana wa kipekee kwenye ufahamu wameishi mazingira magumu na hawakuharibikiwa ila usijifanye mwamba wa malezi ukaona unaweza kumshape mwanao kumbe ndo unampoteza,,,, we mkumbushe misimamo ya maisha mara kwa mara usichoke maana akili zao ni kama za kuku,,, halafu dont PREACH what you don`t PRACTICE...
Aliwahi imba madonna miaka ile ya 80s kipindi akiwa mbichi kabisa ngoma inayoitwa papa don't preach. All in all yanayotokea katika malezi ya watoto wa kizazi hiki yaliwahi kuikumba jamii ya wa marekani miaka ile ya 1920 ikijulikana kama the roaring 20s.
 
Lakini kumlea mtoto wa kiume ni ngumu zaidi kwasababu mtoto wa kike akiharibika anaweza kufika mahara akanyoka ila sio mtoto wa kiume akiharibika amekwisha
 
Aliwahi imba madonna miaka ile ya 80s kipindi akiwa mbichi kabisa ngoma inayoitwa papa don't preach. All in all yanayotokea katika malezi ya watoto wa kizazi hiki yaliwahi kuikumba jamii ya wa marekani miaka ile ya 1920 ikijulikana kama the roaring 20s.
Na sisi kuna vijana hawa vijana waliozaliwa mwaka 2000 aisee
 
Back
Top Bottom