GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani kama Roho zote za Timu zina Majeraha makubwa na mabaya bado tunategemea kabisa kumfunga Masandawana tatehe 30 hapa Kwa Mkapa Dar es Salaam?
Mwaka jana Simba SC ilipoandamwa na Majeruhi wengi kuna Watu hapa JamiiForums mlifurahi sana hivyo nami GENTAMYCINE leo nafirahi mno kwa Azam FC kuwaongezeeni idadi ya Wachezaji Majeruhi mlionao.
Azam FC 2 na Yanga SC 1 Kudadadeki.
Ndugu mbumbu tarehe 30 wachezji wote walioumia watakuwepo kucheza. Na Mamelodi watakandwa pasina shaka.
Endelea kuotaMpira ungekua hivo unavyofikiri mgebkuwa mshamfukuza onana ambaye ulimponda sana hapa jf lakini cha ajabu huyo huyo mbovu ndo kawapereka robo CAF kwa hiyo hao waliopo wanatosha then 2nd leg wa ak0wa washarudi uwanjani na tutavuka kama tulivompiga mjomba wako belozdad
Kuna mbwas wengine wanawasubiri 🐸🐸wawakamue na watawakamua sana tu 🐸🐸japo hao mbwas hawatabeba kombe 😂😂Itawasaidia nini sasa na kombe hawataweza chukua
Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas.
Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu walikifanya bila kutushirikisha. Inawezekana kuna kiongozi mmoja ni Mkia mule ndani jana alipata nafasi ya kutuharibia. Si kawaida kabisa. Azam wa jana si wa siku zote hawa mbwas.
Wametugeuka siku ya match wanacheza utadhani ni fainali? Itawasaidia nini sasa na kombe hawataweza chukua
Copy &Paste[emoji108][emoji16]
Loji ninapomaliza Kukushindilia nayo yote ili baada ya Miezi Kenda uniletee Zawadi ya GENTAMYCINE Junior.Akili hua unaziachaga wapi
Mamelodi anakuja Kuichomeka yote.Kwa hiyo mamelodi anakuja kujipigiaa kiulaini siyo 😄
Ova
Kwahiyo jana Yanga SC ilikuwa Period au?Azam siyo kwamba ni bora sana jana,Yanga haikuwa kwenye kiwango chake jana,azam waliwin Yanga