vvvv
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 406
- 717
Game ya jana sikuelewa Yanga walizidiwa wapi,lakini azam ina damu changa nyingi majamaa hawakati punzi.Kwahiyo jana Yanga SC ilikuwa Period au?
Halafu mwezi huu wa mfungo wachezaji na viongozi wapo kwenye mfungo hawakuhangaika na ulozi