Kwa majeruhi haya ya Wachezaji tegemezi, Mamelodi Sundowns anakuja kufanya Mauaji ya Kishalubela Dar kwa Mkapa

Kwa majeruhi haya ya Wachezaji tegemezi, Mamelodi Sundowns anakuja kufanya Mauaji ya Kishalubela Dar kwa Mkapa

Kwahiyo jana Yanga SC ilikuwa Period au?
Game ya jana sikuelewa Yanga walizidiwa wapi,lakini azam ina damu changa nyingi majamaa hawakati punzi.
Halafu mwezi huu wa mfungo wachezaji na viongozi wapo kwenye mfungo hawakuhangaika na ulozi
 
Game ya Yanga vs Mamelod itachechezwa march 30.
Hivyo bado kuna siku 10 za wachezaji wa Yanga kutibiwa na kupona. Jambo zuri ni kwamba Yanga haitacheza mechi nyingine ya ligi wiki hii hadi imalizane na Mamelod
Hizo siku 10 za kupona amezitaja nani?
 
Yaani kama Roho zote za Timu zina Majeraha makubwa na mabaya bado tunategemea kabisa kumfunga Masandawana tatehe 30 hapa Kwa Mkapa Dar es Salaam?

Mwaka jana Simba SC ilipoandamwa na Majeruhi wengi kuna Watu hapa JamiiForums mlifurahi sana hivyo nami GENTAMYCINE leo nafurahi mno kwa Azam FC kuwaongezeeni idadi ya Wachezaji Majeruhi mlionao.

Azam FC 2 na Yanga SC 1 Kudadadeki.
hakuna mauaji ya kishalubela,tutacheza vizuri kwa gameplan tofauti
 
Ndugu mbumbu tarehe 30 wachezji wote walioumia watakuwepo kucheza. Na Mamelodi watakandwa pasina shaka.
Labda mkande mikate ...halafu nyie hamjali kabisa wachezaji wenu , kwamba mnataka mtu apone ndani ya siku 10, na mumchezezhe gemu ngumu, wachezaji watakua na pancha na wataumizwa zaid
 
Kwa mujibu wa meneja wa yanga Majeruhi waliyopata ni ya kawaida watarudi uwanjani tarehe 30 ukijumlisha na dokta aucho .
 
Back
Top Bottom