ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Binafsi natoa pole za dhati Kwa msiba mzito wa Mme wa Rais Mzee Hafidh
Uislam unaekeza baada ya mwanamke kufiwa na mmewe akae Idda' Kwa muda wa miezi minne na masiku 10
1. Mwanamke aliyefiwa na mmewe akae kwenye nyumba aliyeishi na mmewe na alale kitanda hiko bila kuhama Kwa miezi minne na siku 10.
2. Mwanamke aliyefiwa na mmewe hatakiwi kuvaa nguo nyeupe bali ajistiri Kwa hijabu nyeusi tu Kwa kipindi cha miezi minne na masiku me know
3. Mwanamke aliyefiwa na mmewe hatakiwi kuvaa vito vya thamani, kujiremba na kutumia manukato Kwa muda wa miezi minne na masiku 10
4. Mwanamke akiwa Idda' hatakiwi kuhudhuria sherehe zozote.
Kumbuka Samia ni Rais na tuna sherehe za kitaifa
5. Mwanamke aliyefiwa na mmewe hatakiwi hata kuishi Kwa ndugu yake
Tunataka Bakwata watolee hili nalo tamko