Kwa majibu ya uislam: Rais Samia kukaa nje ya ofisi na kutokuoneka hadharani Kwa miezi minne na masiku 10

Kwa majibu ya uislam: Rais Samia kukaa nje ya ofisi na kutokuoneka hadharani Kwa miezi minne na masiku 10

Binafsi natoa pole za dhati Kwa msiba mzito wa Mme wa Rais Mzee Hafidh

Uislam unaekeza baada ya mwanamke kufiwa na mmewe akae Idda' Kwa muda wa miezi minne na masiku 10

1. Mwanamke aliyefiwa na mmewe akae kwenye nyumba aliyeishi na mmewe na alale kitanda hiko bila kuhama Kwa miezi minne na siku 10.

2. Mwanamke aliyefiwa na mmewe hatakiwi kuvaa nguo nyeupe bali ajistiri Kwa hijabu nyeusi tu Kwa kipindi cha miezi minne na masiku me know

3. Mwanamke aliyefiwa na mmewe hatakiwi kuvaa vito vya thamani, kujiremba na kutumia manukato Kwa muda wa miezi minne na masiku 10

4. Mwanamke akiwa Idda' hatakiwi kuhudhuria sherehe zozote.
Kumbuka Samia ni Rais na tuna sherehe za kitaifa

5. Mwanamke aliyefiwa na mmewe hatakiwi hata kuishi Kwa ndugu yake

Tunataka Bakwata watolee hili nalo tamko
Ndiyo maana Uisilamu umekataa mwanamke kupewa vyeo
 
Tukumbuke kuwa amefiwa tuachie familia yake na dini yake. Kama Sheria ya dini , bakwata watatoa ufafanuzi
 
Ndio hivyo mkuu, hata huku kwetu ukristuni kanuni si za kila mkristo, kuna makleri a walei, walei wanafungwa na kila aina ya kanuni.
Ukiristo hauna matabaka
 
Si kuna mtu katika wa kubwa huko saudia ameruhusiwa kuingia msikitini bila kuvua viatu.
Kwani ni dhambi kuingia na viatu ,kumeandikwa wapi😅😅Jamani mbona kama jambo halikuhusu unapenda kuongelea...Ile ni sehemu tu ambayo watu wanaheshimu ila watu wanaswali mpaka na viatu ,hata ukiona ukuta wa kutenganisha wanawake na wanaume ni mazoea ila sio lazima.

Wanaweza kusali pamoja ila wanaume wanakaa mbele ...Mambo mengi ni mazoea ,mtu anaweza kuweka udhu mara moja hata asubuhi na akasali sala zote bila ya kuweka udhu kila ya sala ila unatakiwa kujua katika mazingira yapi.😅😅😅

Unatakiwa usome kwanza ,watu wanafanya mazoea ila sio sheria ni utaratibu tu watu wameweka kwa sababu za kielimu.

Mwanamke anaruhusiwa kuchinja mnyama kama haujui ,ni vile watu wamezoea na mazingira yaliyopo basi unatakiwa usome ..

Wengine tunaona mnajiongelesha 😅😅
 
Back
Top Bottom