SOBY
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 1,268
- 459
Reli gani?...1. kuliko reli? describe!
Of course kuna TZ-UG railway ambayo ishasainiwa, but please don't argue khusu Kigamboni bridge based on feasibility.
It's highly feasible and important.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Reli gani?...1. kuliko reli? describe!
Mkuu Wabe, nadhani hakuna ubaya tukithink 100years ahead!. Walalii wote sasa wataishia Tanzania, mimi Venice nimeiona kwenye picha tuu na ule ukanda wa mahoteli kule Rio, ndio Kigamboni its like a dream!.
Waberoya, kabla ya kwenda mbali, hiyo makala ya Mwanakijiji uliyosoma kwenye gazeti la Mwanahalisi inafanana na hiyo niliyoweka hapo juu kutoka tovuti ya freemedia.co.tz? Vichwa vya hizo makala vinatofautiana?
Lol Topical japo mimi si mwanakijiji ebu tufafanulie U
Unatakiwa uwe Pro nani ili usiwe na maradhi makubwa au usiwe na maradhi kabisa. Au unatakiwa uwe against nani ili dunia ikuone mzima na utende haki.
otheriwise kila mtu na upande una maradhi yake makubwa kinachobaki ni yepi yenye hoja
Makala original ni hiyo ya Tanzania Daima. Sikutuna makala nyingine Mwanahalisi.
Tatizo kigezo cha kupima hoja! mkuu..
Mimi namuona ni mgonjwa fulani kuwa pro-nyerereism (or anything else) hadi unatia kichefuchefu..
Pasco ni nje ya mada lakini utaburudika
angalia interesting documentary ya exisiting version of Venice in africa. Inaitwa Makoko. iko Lagos.
Tafuta hizo 6 DVD utaona simulator itakuwa kama Doha!.Kuna ubaya sana mkuu! hizo nyumba zikijengwa leo miaka 100 ijayo hazitafurahishahata spanlife ya concrete structures in 30 yrs to 120 yrs!! tulitakiwa kuweka base fulani ya maisha na uchumi.....baada ya hapo tunaanza kupaa kama DUBAI, ambayo sasa inaongoza duniani kwa boom in construction, architects zake are best worldwide, technology is admirable...........hizo dream structures are similar to what it is in NY now!! aren't they?
Ninasimamia kila neno ka kwenye kila sentesi iliyoko kwenye original article ya Tanzania Daima. Kuna madai yanayodai ukweli na kuna maoni. Kwenye maoni niko tayari kushawishiwa vinginevyo kwenye yake yanayodai ukweli nitafurahi wakosoaji waoneshe makosa ni yapi. Kwa personal innuendoes and cheap stupid persona attacks well I can handle any and from anybody. Watu hawafungi safari kwenda kupanda vilima bali milima.Nakala hii imeandika mambo ambayo kwangu mimi sijaona uhusiano wa kichwa cha habari na habari yenyewe
Nakala haina connection wala mtiririko wa mtu ambaye alikaa chini na kuandika kitu fulani ambacho ni interesting hasa wale wenye njaa ya ubongo!
Nakala inasema kuwa Nyerere ndiyo source ya hilo daraja na Magufuli anataka tuone eti ni Kikwete!! sijajua wai alisema ionekane hivyo, wakati tunajua hata kipindi cha mkapa lilizungumziwa sana!
Kaandika kuwa Magufuli si kiongozi na ya kuwa serikali yake imeoza so hana jipya na hataweza lolote kwani serikali yake yote ni mbovu, magufuli ni mtupu tu!
Kuwa Magufuli hana msimamo wala haeleweki kuwa anasimamia wapi kuhusu scandals za EPA,richmond...anataka magufuli apige kelele kama sita na mwakyembe watu ambao sijui labda yeye anaamini ni wapiganaji!
Anasema kuwa magufuli anatakiwa aombe radhi kwa kuuza nyumba za serikali!, kana kwamba ulikuwa uamuzi wa magufuli tu!
Ukiisoma inaonekana aidha huyu mzee ana gubu fulani, ana hasira ambayo haiko wazi, ni nakala ambayo siyo ya GT hasa kama yeye!
Hivi ukijua Magufuli anapinga au hapingi issues za EPA so what? hao wanaopinga wamefikia wapi mpaka sasa? lets be realistic, ukipinga ufisadi na unapewa uwaziri kwenye serikali ambayo inaongozwa na mtuhumiwa namba moja unapinga ufisadi kweli?????
Hivi MMKJJ unatuaminisha kuwa uuzaji wa nyumba za serikali ni uamuzi wa magufuli na sio wa baraza la mawaziri,pia je, uuzwaji huo wa nyumba za mawaziri sababu hasa ilikuwa ni nini? sometime we tend to think we know too much!!
wangapi wameomba msamaha kwa kulikosea hili taifa, magufuli asipoomba utamfanya nini??
Unasema magufuli sio kiongozi??really??? kipimo gani cha uongozi ulichonacho ambacho wengine wanavyo ndani ya CCM ila magufuli hana??
wakati mwingine tunataka kujionyesha kwa jamii, tunapinga kila kitu, tunawaza sana, tuna akili mno, ni wazalendo sana, na tunampenda Nyerere mno...ila mara nyingi tunaharibu na hatuwi sahihi
Hivi ni lazima uandike nakala kama huna cha kuandika???
Your article was so boring !!!! where is real you???
Asante. Wazungu wametengeneza simulator ya hiyo Kigamboni new city kwenye DVD pack of 6 wanaiuza TZS 300,000. Ukiangalia utashindwa kuamini!. Nimetembelea nchi za watu, hazifikii!.
Makala original ni hiyo ya Tanzania Daima. Sikutuna makala nyingine Mwanahalisi.
......Asante kwa clarification. Labda Mkuu Waberoya atupe ufafanuzi zaidi juu ya hiyo makala aliyoisoma kwenye gazeti la Mwanahalisi titled: "Daraja la Kigamboni na Utakaso wa Magufuli". Inawezekana Mwanahalisi wame republish hiyo makala halafu waka-spin title?
Unaelewa maana ya simulation ya a city wide building design project?
Asante. Wazungu wametengeneza simulator ya hiyo Kigamboni new city kwenye DVD pack of 6 wanaiuza TZS 300,000. Ukiangalia utashindwa kuamini!. Nimetembelea nchi za watu, hazifikii!.
Labda kati ya hizo DVDs mojawapo ni hii?