Huwa unakurupuka sana pindi unapokuwa na chuki binafsi na member.Nakumbuka hata hii makala ulileta hoja zenye mwelekeo wakuonyesha chuki dhidi ya Zitto.Na kudhhihirisha hilo ulileta hoja nyingi ambazo hukuzifanyia utafiti,walipojitokeza wanaofahamu yale uliyoyaleta ukawa mpole na kujirudi.
My take;
Nakukubali sana kutokana na uchambuzi wako ila ni vyema ukawa unatulia pindi unapokuwa na kutoridhika na mtazamo wa mtu fulani.
Waberoya
28th March 2011 20:58
#31
JF Premium Member Array
Join Date : 3rd August 2008
Location : Busia-Uganda
Posts : 4,959
Rep Power : 1406
Re: Esoteric: Uhusiano wa Zitto, JK, Salim A.S, Ridhwan, Omar Ilyas & then some Islams?
By
Quinine
We mchokozi watu walishaisahau hii habari.
Wewe ndio mchokozi! kichwa kama Kiwete!
By
MsandoAlberto
Zitto hakushiriki mapinduzi ya 2003. Ridhiwani Kikwete had nothing to do with that either. Alikuwepo Ndaskoi, Siriwa nk ambao hao walikuwa mstari wa mbele.
Waberoya, unakumbuka kamati iliyoundwa utawala kwenda Dean of Students Dr. Kitula?
Omar Ilyas ni rafiki yake Zitto but kusema Omar Ilyas ni rafiki wa JK inatia shaka. Udini wa Zitto na Omar ni wa ajabu basi. With due respect kwa muda niliomfahamu Zitto sikumbuki lini aliniaga anaenda msikitini. Sikumbuki. Omar hivyo hivyo. Kama ni wadini itakuwa ni ajabu.
Picha iliyotundikwa ukutani ukiangalia utaona inakuangalia. Vile vile aliyekaa pembeni yako na yeye ataona inamuangalia. It is nothing but imagination!
Msando ukikataa kuwa Ridhiwan, wewe mwenyewe, Zito ,n.k hawakuhusika nitashangaa sana, Kwa macho yangu niliwaona na niliwasikia..they were not leaders but they fully supported that revolution. Ridhwan ndiye ambaye alitaka kabisa kufunga mpaka ofisi kwa hasira....I will stand on that. Zito hakuwa mstari wa mbele alionekana zaidi kama ndiye master minder.That time Benno alikuwa dogo mno mpaka akikutana na mimi anatetemeka na kutoa shikamoo ...!! aha ha ha!!! leo hii eti UVCCM..my God!
Ukweli habari hii ukiiangalia sana niliandika kwa hasira na ku-connect dots na hasira zangu zilikuja pale Zito alipomfagilia Kikwete kuhusu Kigoma, na alipishana na wenzake swala la kutoka bungeni. Hili lilinifanya CPU yangu irudi nyuma na ku-connect dots...thats all.
Ukweli I am feeling sorry kuwa kuna mengine niliandika kwa hisia zaidi ili kama kuna evidence zitoke kwa watu wengine, ili nifute kabisa IMANI yangu kwa Zito na kwa sababu evidence zilikosekana , why then should I hold anger toward him??
Kama kuna kitu nakipenda basi ni kanuni zangu na principle zangu ambazo kiongozi yeyote lazima azipitie ili niwe na imani naye.
Zito alizijibu hoja na sina tatizo naye...though this post inaweza kuchukuliwa kumchafua Zito kama wengine wanavyofanya, kwangu mimi nachukulia ilikuwa ni kipimo Tosha kuwa Zito ni mtu wa watu, alikuja akajibu , KUMBUKA SIYO LAZIMA KUJA HUMU! angeweza kugoma na kuendelea na maisha yake..ningemfanya nini?? kuja kwake hapa na ngau kusema na mimi basi kwangu mimi kulinifanya nirudi kuwa kwangu mimi ni kiongozi mzuri sana na he is living 50yrs ahead of many....watu wa aina ya Zito nawachukulia sawa na watu wa caliber ya MKJJ they are focused and openly they live by their principles. Nashukuru Mungu wasiwasi wangu uliondoka ..Zito is 100% in my heart..nikiwa na wasiwasi tena ili nisiingie chaka nasema tu...why not?
I will personally nitakutana naye na kujadili yeye kuwa rais 2020 au 2025. He can and he is real. Msando tutakupa wizara ya sheria usihofu!! LOL!
BTW Siriwa yuko wapi??
Lakini