Kwa Mambo anayofanya Rais Samia Suluhu, ukiisha mwezi mmoja tutamsahau kabisa Hayati Magufuli

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,485
Kwa Mambo anayoendelea kuyafanya Rais Samia Sasa hivi,mfano kutokutumia nguvu kukusanya Kodi,kupokea ripoti za CAG zisemazo ukweli,ukaguzi wa BoT na kadhalika. Hakika nakuambieni akiendelea hivi Hadi mwezi mmoja tu ukaisha, tutamsahau kabisa kabisa Hayati Magufuli kwani mama atakuwa amekonga nyoyo za Watanzania wema na wapenda amani.
 
Madame President kwa gharama yoyote akigusa Mei Mosi kwa wafanyakazi kazi imeisha nyie mtajiona
Nchi hii italipuka jamani
Watumishi wanakinyongo watu wanautafuta mwaka wa 8 sasa bila badiliko la udabidabi lakini kila kitu kinapanda bei
Akigusa hapo biashara imeisha
 
Jiwe alikosea mno kutengeneza uadui na vijana wasomi , wafanyakazi wa serikali, matajiri na wafanya biashara wa Kati na wakubwa ..yaani hyo ni wrong move....unajitengenezea active enemy
 
Kwa Mambo anaendelea kyafanya Samia Sasa hivi,mfano kutokutumia nguvu kukusanya Kodi,kupokea ripoti za CAG zisemazo ukweli,ukaguzi wa BOT na kadhalika.
Hakika nakuambieni akiendelea hivi Hadi mwezi mmoja tu ukaisha,nakuambieni tutamsahau kabisa na kumchukia kabisa Hayati Dikteta Jiwe.
kwani mama atakua amekonga nyoyo za Watanzania wema na wapenda amani.

JIWE kaharibu uchumi ,JIWE kawaumiza wafanyabiashara , 2016 biashara nyingi zilikufa,Makampuni mengi yalifanya retrenchment.
 
Kwa Mambo anaendelea kyafanya Samia Sasa hivi,mfano kutokutumia nguvu kukusanya Kodi,kupokea ripoti za CAG zisemazo ukweli,ukaguzi wa BOT na kadhalika.
Hakika nakuambieni akiendelea hivi Hadi mwezi mmoja tu ukaisha,nakuambieni tutamsahau kabisa na kumchukia kabisa Hayati Dikteta Jiwe.
kwani mama atakua amekonga nyoyo za Watanzania wema na wapenda amani.

Tutamsahau, ila ametuacha pazuri Kiasi.
 
Madame President kwa gharama yoyote akigusa Mei Mosi kwa wafanyakazi kazi imeisha nyie mtajiona
Nchi hii italipuka jamani
Watumishi wanakinyongo watu wanautafuta mwaka wa 8 sasa bila badiliko la udabidabi lakini kila kitu kinapanda bei
Akigusa hapo biashara imeisha
Pia wafanyakazi tuna mapungufu yetu makubwa sana.
Kwa jiwe alivyo tunyoosha kwa kutunyima haki zetu lkn kwenye uchaguzi tukampigia kura kibao.
 
Kwa Mambo anaendelea kyafanya Samia Sasa hivi,mfano kutokutumia nguvu kukusanya Kodi,kupokea ripoti za CAG zisemazo ukweli,ukaguzi wa BOT na kadhalika.
Hakika nakuambieni akiendelea hivi Hadi mwezi mmoja tu ukaisha,nakuambieni tutamsahau kabisa na kumchukia kabisa Hayati Dikteta Jiwe.
kwani mama atakua amekonga nyoyo za Watanzania wema na wapenda amani.
Bimkubwa anaweza tatizo ana DOA la uchaguzi mkuu lililojaa kutu pande zote
 
Kwa Mambo anaendelea kyafanya Samia Sasa hivi,mfano kutokutumia nguvu kukusanya Kodi,kupokea ripoti za CAG zisemazo ukweli,ukaguzi wa BOT na kadhalika.
Hakika nakuambieni akiendelea hivi Hadi mwezi mmoja tu ukaisha,nakuambieni tutamsahau kabisa na kumchukia kabisa Hayati Dikteta Jiwe.
kwani mama atakua amekonga nyoyo za Watanzania wema na wapenda amani.
Ile hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kwangu nilisahau kiongozi wa malaika kabisa. Mimi huwa simkumbuki na TV yangu sikuwasha kabisa siku zile.
 
Kwa Mambo anaendelea kyafanya Samia Sasa hivi,mfano kutokutumia nguvu kukusanya Kodi,kupokea ripoti za CAG zisemazo ukweli,ukaguzi wa BOT na kadhalika.
Hakika nakuambieni akiendelea hivi Hadi mwezi mmoja tu ukaisha,nakuambieni tutamsahau kabisa na kumchukia kabisa Hayati Dikteta Jiwe.
kwani mama atakua amekonga nyoyo za Watanzania wema na wapenda amani.
hakuna lolote. unataka kusema report za CAG hazisemi ukweli?
Awamu iliyopita walitumia hiyo nguvu? aftermath imeonekana.
unataka mama arudi kule kule au aboreshe?

acheni whitch hunt. kama hupendi style ya muheshimiwa rais SSH. unaweza hama nchi mnakera na utabiri wenu
 
Naa
Madame President kwa gharama yoyote akigusa Mei Mosi kwa wafanyakazi kazi imeisha nyie mtajiona
Nchi hii italipuka jamani
Watumishi wanakinyongo watu wanautafuta mwaka wa 8 sasa bila badiliko la udabidabi lakini kila kitu kinapanda bei
Akigusa hapo biashara imeisha
Naam Hadi Sasa ameshagusa kwa wafanyabiashara,ukizungumzia Kodi ya kistaarabu unakua umewafurahisha wafanyabiashara hasa wazawa maana wao hawawezi kuhamisha biashara.baadae wakulima,akiweka Mambo sawa kwao Jiwe atabakia historia Kama kiongozi kivuruge.
 
Na TRA akianza kupita kukusanya kodi huku anarembua nakuambia atakusanya Bilion 3 kwa mwezi.
 
Rais Samia ana good approach kwenye ukusanyaji wa kodi; Hawa watu wa Jiwe walikuwa wanadhani kwa kutumia nguvu ndio wange kusanya kodi nyingi lakini ukweli ni kwamba walikuwa wanapunguza walipa kodi!! Sio jambo la busara kwenda kwenye mabenki na kufunga akaunti za watu kwa sababu ya TRA; kuchunguza account za watu kwenye mabenki kumewafanya watu wayakimbie hivyo benki kukosa mtaji wa kuwakopesa wateja wao hivyo kuathiri ukuaji wa uchumi wa nchi!

Hakuna budi TRA ifuate ushauri wa kutumia akili na maarifa katika kukusanya kodi badala ya kutumia mabavu kama mlivyozoeleshwa!!! Mabenki nayo yasikubali kutoa siri za Wateja wao kiholela! Sheria inayowapa mwanya TRA ya kwenda kwenye akaunti za watu benki irekebishwe.
 
Back
Top Bottom