lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
- Thread starter
- #21
Hujanielewa mkuu,kwa mawazo yangu Jiwe alikerwa na ripoti zilizonyooka za za Prof Mussa Assad,akamfanyia figisu akamtoa.nadhani huyu aliyemuweka alitaka awe anatoa ripoti za kumfurahisha yeye(Jiwe).mfano Naamini hii ya ndege kuleta hasara sidhani ingekuja Kama ilivyokuja Kama ingekua inapelekwa kwa Jiwe.
Maana Jiwe alishatupiga fix kwamba ndege zinaleta faida.
Lakini mama kaambiwa ukweli kua ndege zinafanya kwa hasara kwa mujibu wa ripoti hii ya juzi ya CAG.
Detective J
Maana Jiwe alishatupiga fix kwamba ndege zinaleta faida.
Lakini mama kaambiwa ukweli kua ndege zinafanya kwa hasara kwa mujibu wa ripoti hii ya juzi ya CAG.
Detective J
hakuna lolote. unataka kusema report za CAG hazisemi ukweli?
Awamu iliyopita walitumia hiyo nguvu? aftermath imeonekana.
unataka mama arudi kule kule au aboreshe?
acheni whitch hunt. kama hupendi style ya muheshimiwa rais SSH. unaweza hama nchi mnakera na utabiri wenu