Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
Ahsante kwa taarifa, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Waache na mambo yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa taarifa, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Si mwehu huyo. Hana ajuacho alafu anajiita TAIKUN wa Fasihi. Wao wameiga utamaduni qa kimagharibi ikiwe.o kushikishwa ukuta.
Kuna sehemu dish lako lina loose connection
Ukute mama na baba yako wamezaliwa kwenye Mitala alafu wewe unakuja kutuambia ya kwamba Mitala ni mila potofu.Yote uliyoelezea hayana uhusiano na mila mbaya za kuoa wake wengi.
Kuchepuka ni tabia ya usaliti kwa mtu.
Wapo wenye wake wengi na bado wanachepuka.
Umalaya ni tabia ya mtu ambayo hata wanawake walioolewa wapo ni Malaya na Makahaba.
Kutoa mimba ni uamuzi ambao wapo piah wanandoa waliolewa na wanatoa mimba au kutumia uzazi wa mpango.
Ukitaka kujua ndoa za Mitala ni mila potofu unaweza kumuuliza mama yako au mkeo upate maoni yake. Kisha uliza wanawake wa jamii tofauti waambie utayari na ukubali wao kuhusu kuolewa wake wengi. Majibu bali nayo.