Binamu umesahau kipindi kile Idrissa anahojiwa na bongo five alishasemaga kwamba yuko tayari kufanya chochote ili mradi tu awe maarufu!!hatimae ametenda,umaarufu mavi ameupatawema sio wa kumwamini yule, mwanamke hafai hata kidogo, huyo idris namuonea huruma sana
Duuuh achomwe moto tena.huyu wema dawa yake kumchoma moto kashatuchosha mbwa huyu
huyu wema dawa yake kumchoma moto kashatuchosha mbwa huyu
kusemaukweli nimeumia sanaaa kwa hii story.
yaani sijui ni kwann nasikitika as if ni mimi ndo nimeharibikiwa na mimba. siwez kusema ama kumwombea mtu vibaya hataa kama namchukia kiasi gani kwamba apate mkasa kama huu. Yaani jaman yale maudhi ya mimba siku za kwanza wiki 1-12 yanavyokuwaga afu itoke jaman inauma acheni matani.
mbaya zaid mimba ya kuharibika inaumaga bora tena na uchungu wa kuzaa. sijui ameumiaje. maumivu ya kuumwa na yale ya sononeko moyoni.
Kila siku nawaombea wanawake wote ni wapate watoto jaman nawao walee kama wengine na wale wasioolewa nao pia waolewe ili wajue utamu wa kuish na mume
huyu wema dawa yake kumchoma moto kashatuchosha mbwa huyu
hizi mimba za kutangaza kwenye social media mhhh,watu cjui adabu zao wameweka wapi
Mimba sio Pipi ya kudolishia mtaa mzima, kuifanyia matangazo na kuitumia kuwachapia wenzake.And hellow,
Yec, Wema was pregnant,
Kuna daktari wa Agakhan ameniambia na hata kusafishwa kasafishiwa pale,
So tunaweza kumpa pole au kukaa kimya kuliko kumbeza.
Kumbe usmart wa kichwanj unapimwa na lugha ya kiingereza!!kumbe hayo maneno yote ka-google?????? nkaanza kuamini kuwa kumbe idrissa yupo "smart upstairs" dah kweli bongo nyosso. hadi sentensi tunagoogle.
hii inglishi ilinishtua kidogo na kusema mbongo kabisa kaandika kizungu zaidi ya mzungu mwenyewe kumbe kopi na kupesti.
And hellow,
Yec, Wema was pregnant,
Kuna daktari wa Agakhan ameniambia na hata kusafishwa kasafishiwa pale,
So tunaweza kumpa pole au kukaa kimya kuliko kumbeza.
Hakuna aliyejibu swali hili kifasaha ndugu Ngabu. Wote wanazunguka na porojo tu!Hiyo mimba ilikuwepo kweli au zilikuwa kiki tu?
hii inglishi ilinishtua kidogo na kusema mbongo kabisa kaandika kizungu zaidi ya mzungu mwenyewe kumbe kopi na kupesti.
hapa nilijiona nipo shallow kabisa nikilinganisha na kile changu cha kuunga unga.Hicho kizungu kilikuvutia eeh?π
Hiyo mimba ilikuwepo kweli au zilikuwa kiki tu?
Hatimaye tunakaribia mwisho wa hii tamthiliya ya mimba.
Sidhani kama kulikuwa na mimba yoyote.