Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Tatizo la hawa mabinti wenye majina huwa wanajishaua sana. Yaani wanaona kuwa maarufu na pesa ndo maisha yameyawezea. Yawapasa wabadilike. Hata huyo mungu wanayedhani yupo sometime huwa naye anachoka maana kuna watu wengi wanahitaji msaada
 
Mimba?my foot!! Wema to Zari.
Malipo ni hapa hapa Siwema,sijui na yale makampuni uliongia nayo mikataba kwa kitoto kilicho tumboni ili umpiku mtoto wa Diamond utawapa mdoli
 
FURAHA NILIYONAYO HAIELEZEKI,NIMECHINJA KUKU LEO NYUMBANI KWANGU KUSHEREHEKEA KIFO HIKI,TENA NIMEMCHINJA JOGOO WANGU PENDWA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe upo? Hahahaaaa sio vizuri hivyo jamani!
 
Wanawake tunakuwaga Desperate sana, yaani tutakapo Jambo letu tunakuwa hatusikii wala hatuelewi chochote, Simple reasonings huwa tunazifungia kwenye zile handbags zetu tunazobeba mkononi. ndio maana ni wateja wazuri wa waganga wa kienyeji na makanisa uchwara. Sometimes kitu kinahitaji A simple mathematics lakini utashangaa mtu anavyohaha huku na kule, SMH.
 
Nay me nilikuwa namuona muongo, but now namuona mkweli. wema sepetu ni muongo tena mjinga sana. sasa alikuwa anatuongopea ili iweje yani! mungu kamlipa
 
hapa kweli wimbo wa ney utaendelea kuwika kila kitu kimekuwa ukweli
Wenye kufyatua na mimba zao kamwe hawahitaji matangazo na majigambo.........kila kitu kina mipaka na ndio maana vingine hatupati hata tulale humohumo!
 
Unajua tatizo letu tunajifanya mambo ya uzungu uzungu ndio SHIDA hiyo. Mimi ningekuwa wema ningekuwa na mimba nisingetaka kupigapiga mayowe, ningekuwa very selective Kwa kile ninacho Fanya, kula na ningeiangalia tabia yangu Ni ujumla na Kama ningeweza ningejipa complete bed rest Kwa jinsi ambavyo ningekuwa naitetemekea hiyo mimba. MTU nishajijua, watu haeaishi kuninanga, ningetulia Kwa kweli ili niwapate Hao watoto alafu mgenikoma!!
Mimba Si kiazi kusema kinakulia ndani Kwa ndani, ingekuwa tuu na mngeiona tuu, sasa Bibi huyu haina Haya wiki Tatu, full publicity, ndio nini sasa[emoji35] [emoji35] , Haya mke ningekuwa mimba ningejidedisha kuliko kuzaliwa na mama ka sepetunga lol[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
picha linazidi kuwa taaaamu sie watazamaji tu
 
I real like this Comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…