Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!


Wema Sepetu amethibitisha kuwa ujauzito wake aliokuwa ameubeba umetoka.

Taarifa hiyo ilianza kusambaa baada ya mpenzi wake Idris Sultan kuandika ujumbe wa kupoteza watoto wake mapacha waliokuwa tumboni bado.

Kupitia Instagram, Wema ameandika:
Ni kweli. Na imeniuma sana lakini nimefika kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah for everything. Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wameonyesha moyo wa kibinadamu. Nawashukuru kwa upendo wenu, MNANIPA NGUVU.

Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wamefurahia kwasababu zao binafsi. Nawashukuru kwa uwepo wenu, MNANIPA UJASIRI.

Alhamdulillah kwa siku ya kesho. Ilimradi nina pumzi, SITACHOKA KUJARIBU TENA. Hata ukikosa, ukakosa, ukokosa eeeeeeh…sema ASANTE, KWELI YEYE NI MUNGU. Alhamdulillah for EVERYTHING!

Pole Wema.
Tatizo la hawa mabinti wenye majina huwa wanajishaua sana. Yaani wanaona kuwa maarufu na pesa ndo maisha yameyawezea. Yawapasa wabadilike. Hata huyo mungu wanayedhani yupo sometime huwa naye anachoka maana kuna watu wengi wanahitaji msaada
 
Mimba?my foot!! Wema to Zari.
Malipo ni hapa hapa Siwema,sijui na yale makampuni uliongia nayo mikataba kwa kitoto kilicho tumboni ili umpiku mtoto wa Diamond utawapa mdoli
 
FURAHA NILIYONAYO HAIELEZEKI,NIMECHINJA KUKU LEO NYUMBANI KWANGU KUSHEREHEKEA KIFO HIKI,TENA NIMEMCHINJA JOGOO WANGU PENDWA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe upo? Hahahaaaa sio vizuri hivyo jamani!
 
Masharti ya waganga wa kienyeji bana!

Umenichekesha sana.

Halafu sijui kwa nini wanawake ndo huwa wahanga wa hawa waganga.

Unakuta kabisa mwanamke anaamini katika huo upuuzi.

Mara nyingi waganga huwa ni wanaume na wateja wao wengi huwa ni wanawake.

Ndo maana kuna tofauti ya kiakili [kwa ujumla] kati ya wanawake na wanaume.
Wanawake tunakuwaga Desperate sana, yaani tutakapo Jambo letu tunakuwa hatusikii wala hatuelewi chochote, Simple reasonings huwa tunazifungia kwenye zile handbags zetu tunazobeba mkononi. ndio maana ni wateja wazuri wa waganga wa kienyeji na makanisa uchwara. Sometimes kitu kinahitaji A simple mathematics lakini utashangaa mtu anavyohaha huku na kule, SMH.
 
Nay me nilikuwa namuona muongo, but now namuona mkweli. wema sepetu ni muongo tena mjinga sana. sasa alikuwa anatuongopea ili iweje yani! mungu kamlipa
 
hapa kweli wimbo wa ney utaendelea kuwika kila kitu kimekuwa ukweli
Wenye kufyatua na mimba zao kamwe hawahitaji matangazo na majigambo.........kila kitu kina mipaka na ndio maana vingine hatupati hata tulale humohumo!
 
Unajua tatizo letu tunajifanya mambo ya uzungu uzungu ndio SHIDA hiyo. Mimi ningekuwa wema ningekuwa na mimba nisingetaka kupigapiga mayowe, ningekuwa very selective Kwa kile ninacho Fanya, kula na ningeiangalia tabia yangu Ni ujumla na Kama ningeweza ningejipa complete bed rest Kwa jinsi ambavyo ningekuwa naitetemekea hiyo mimba. MTU nishajijua, watu haeaishi kuninanga, ningetulia Kwa kweli ili niwapate Hao watoto alafu mgenikoma!!
Mimba Si kiazi kusema kinakulia ndani Kwa ndani, ingekuwa tuu na mngeiona tuu, sasa Bibi huyu haina Haya wiki Tatu, full publicity, ndio nini sasa[emoji35] [emoji35] , Haya mke ningekuwa mimba ningejidedisha kuliko kuzaliwa na mama ka sepetunga lol[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hahaha....here we go again!

The pregnancy that is full of drama like a soap opera.

But these two fools really know how to toy with people's minds [and emotions for that matter].

And they probably already know that there's a sucker born every minute who will gobble up hook, line, and sinker any drivel that they put out there in the social media.

I mean, was there even a pregnancy in the first place?

Or, could it be that she is really pregnant but they have just chosen to mess with people knowing there is going to be strong reaction from the so called fans and haters?

Is it a publicity stunt?

On the real, though, the whole thing is funny to watch.

Can't wait to see what comes next.

I won't be least bit surprised if she posts something next week saying the 'twins' have resurrected and as a result she's back to being pregnant again.
I real like this Comment.
 
Back
Top Bottom