Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Brother!
Ungesubiri kwanza nimsaidie huyu bimdada wa watu..
Ni hivi wanawake huwa ni wepesi sana ktk kuamini hata wasivyoviona.....
Hahaha...I hear you.
Do your thing ma man!
Ha! ha! ha! Wooote, kocha nae pia, vile vijamaa vya first aid (you name it....) Balaa kubwa!!!!hadi kocha??
huyu wema dawa yake kumchoma moto kashatuchosha mbwa huyu
Wewe?Subiri tu kuna siku nitakuja na makavu live ya wanaojidai kumponda Wema ni malaya huku JF wakati wao tu na hizi fake ID's wameshindwa kuuficha umalaya wao.hii habari iwafikie Nifah na Diva Beyonce
Ha ha ha mimba inashikwa shikwa na kilaki mtu utadhani mic ovyoooMimba sio Pipi ya kudolishia mtaa mzima, kuifanyia matangazo na kuitumia kuwachapia wenzake.
Akome mashauzi!!!
Huyo Dr kanikumbusha ile clip ipo whatsapp Dr anawapa wagonjwa majibu hadharani eti "mwenye gonorrhea" afu anamchana pale we si nilikutibu sahivi tena una gonorrhea naona umemaliza mgonjwa ya binadamu soon utaugua ya wanyama  huenda ndo huyo Dr wa Agakhan 😀😀😀😀Ngoja kwanza, yaani daktari kakuambia habari za Wema kuhusu mimba yake?
Huyo ni daktari kweli au ndo sampuli ya akina dokta Mwaka na Manyaunyau?
Daktari kabisa aliyekula kiapo cha Hippocratic?
Aisee!!!
"Wema mbona Tasa kitambo tu... huyo dada angekuwa na watoto wanne kwenda juu ila aliwaona mafala kafyatua wote sasa anajaza mitaambaa ooh na mimba? unazijua mimba wewe? duu kweli wanaume tuna huruma hadi wema alishika mimba "Habarini wana Jamvi
Baada ya Soudy Brown kulianzisha na kudai kuwa wema alikua na mimba watoto mapacha Bahati mbaya mimba hio imetoka....wengi walimlaumu na kumuona Mzushi! idriss na wema wote walikaa kwa mda bila kusema chochote hatimae leo Idrissa Ameandika hay baada ya kupost picha ya watoto mapacha
To my unborn twins,
.
So quickly you came into our lives,
So quickly torn away.
Never got the chance to meet you,
There's so much I want to say. All these thoughts running through my head,
It's enough to drive me insane.
Though you lived only six short weeks,
You were loved so very much.
I wish that I could hold you,
I long to feel your touch. I pray that in another life, We get the chance to meet. God brings and takes as he plans and we cannot complain but only pray that all that was for a better reason and a better plan in store for us. We have learnt lessons painfully but wont stop trying again and again and do swear by the time your brothers and sisters are made to come to this world we will be more than ready for them.
Sincerely Your Dad. ❤️
Kwa mapacha wangu ambao hamjazaliwa, kwa haraka sana mlikuja katika maisha yetu, haraka sana mliondoka, sikupata nafasi ya kukutana nanyi, kuna mengi sana nataka kusema, mawazo haya yote yanazunguka kichwa changu, inanifanya mwendawazimu, ingawa muliishi kwa wiki fupi 13 tu, mulipendwa sana, nilitamani ningewabeba, nilitamani nihisi mguso wenu, naomba kwamba kwenye maisha mengine tutapata nafasi ya kuonana.
Mungu hutoa na kutwaa kadri ya mipango yake na hatuwezi laumu, ila tunaomba ni kwa sababu na mipango mizuri aliyotuwekea sisi, tumejifunza kwa maumivu sana lakini hatutaacha kujaribu tena na tena, na naapa muda ambao kaka zenu na dada zenu wakija duniani, hii dunia itakuwa zaidi ya tayari kwa ajili yao.
Baba yenu mpendwa.)
Post hiyo imeibua hisia nyingi huku wengi wao wakuwapa pole, na wengine wakiwapondea na kusema kuwa walikuwa wanadanganya kwani mwandada huyo hakuwahi kushika mimba.
Umetafsiriwa toka lugha ya kingereza.[/use
He z stupid
Poleni kwa msibaWewe?Subiri tu kuna siku nitakuja na makavu live ya wanaojidai kumponda Wema ni malaya huku JF wakati wao tu na hizi fake ID's wameshindwa kuuficha umalaya wao.
Kutwa nzima kumsema Wema malaya wakati wao wameoza sio wake kwa waume,ooooh mara mbaya wakati wao wamevimbiana kama viboko.
Subiri tu,siku yao yaja...
Waione vipenzi vyangu Charity Diva Beyonce lara 1
Huyo Dr kanikumbusha ile clip ipo whatsapp Dr anawapa wagonjwa majibu hadharani eti "mwenye gonorrhea" afu anamchana pale we si nilikutibu sahivi tena una gonorrhea naona umemaliza mgonjwa ya binadamu soon utaugua ya wanyama  huenda ndo huyo Dr wa Agakhan 😀😀😀😀