Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Mleta mada tufanyie mpango tupate Behind The Scenes ya hili movie, maana wametisha sana...!!!
 
kwa hiyo na ndoto za kujifungulia katikati ya bahati zimeyeyuka?
 
huyu wema dawa yake kumchoma moto kashatuchosha mbwa huyu

Ahahahahahhh, wema kimeo......yeye acheza na magazeti ya shigongo kutafuta attention ya watu, akwendreeeee
 
Kama lulu alivyowahi sema, mimba za insta, zinaanzia insta na kuishia insta. Lakini huyu bidada kapitiliza hadi matanga kaweka insta. Halafu yee huyo anakula bata na le mukongo man.
 
hii habari iwafikie Nifah na Diva Beyonce
Wewe?Subiri tu kuna siku nitakuja na makavu live ya wanaojidai kumponda Wema ni malaya huku JF wakati wao tu na hizi fake ID's wameshindwa kuuficha umalaya wao.
Kutwa nzima kumsema Wema malaya wakati wao wameoza sio wake kwa waume,ooooh mara mbaya wakati wao wamevimbiana kama viboko.
Subiri tu,siku yao yaja...

Waione vipenzi vyangu Charity Diva Beyonce lara 1
 
Wema sepetu anajiwekea historia ya mwanamke aliyepitia mapito ya masimango, kejeli na dharau...yawezekana hapo ulikuwa usichana una msumbua ila nadhani akikaa anaijutia historia yake. Yote kwa yote kama kweli alikuwa ana mimba au hana alidanganya anajua yeye na Mungu wake ila najua akikaa peke yake anajikia vibaya kwa anayoyapitia na naamini anapenda sana naye aje aitwe mama. Haya yote ni Mapito tu ndugu zangu kuna wanawake humu ndani wako mbele kumtusi wema washukulu tu ID fake zinawasaidia lakini wamepitia maisha ya ajabu kuliko huyu wema waliomkomalia.
 
Sasa kawaandikia meseji watoto wake huko Instagram? Hizi social media zimewafikisha watu another level.
 
Ngoja kwanza, yaani daktari kakuambia habari za Wema kuhusu mimba yake?

Huyo ni daktari kweli au ndo sampuli ya akina dokta Mwaka na Manyaunyau?

Daktari kabisa aliyekula kiapo cha Hippocratic?

Aisee!!!
Huyo Dr kanikumbusha ile clip ipo whatsapp Dr anawapa wagonjwa majibu hadharani eti "mwenye gonorrhea" afu anamchana pale we si nilikutibu sahivi tena una gonorrhea naona umemaliza mgonjwa ya binadamu soon utaugua ya wanyama  huenda ndo huyo Dr wa Agakhan 😀😀😀😀
 
Habarini wana Jamvi

Baada ya Soudy Brown kulianzisha na kudai kuwa wema alikua na mimba watoto mapacha Bahati mbaya mimba hio imetoka....wengi walimlaumu na kumuona Mzushi! idriss na wema wote walikaa kwa mda bila kusema chochote hatimae leo Idrissa Ameandika hay baada ya kupost picha ya watoto mapacha

To my unborn twins,
.
So quickly you came into our lives,
So quickly torn away.
Never got the chance to meet you,
There's so much I want to say. All these thoughts running through my head,
It's enough to drive me insane.
Though you lived only six short weeks,
You were loved so very much.
I wish that I could hold you,
I long to feel your touch. I pray that in another life, We get the chance to meet. God brings and takes as he plans and we cannot complain but only pray that all that was for a better reason and a better plan in store for us. We have learnt lessons painfully but wont stop trying again and again and do swear by the time your brothers and sisters are made to come to this world we will be more than ready for them.
Sincerely Your Dad. ❤️
"Wema mbona Tasa kitambo tu... huyo dada angekuwa na watoto wanne kwenda juu ila aliwaona mafala kafyatua wote sasa anajaza mitaambaa ooh na mimba? unazijua mimba wewe? duu kweli wanaume tuna huruma hadi wema alishika mimba "
 
Acha movie ya ujinga na upumbavu na iendelee! Haya hajaumbwa nayo kila mtu, huyu mwanamke mwenzetu sijui wapi alikosea mbona haiingii akilini kufanya yote haya juu ya nini?
 
Kwa mapacha wangu ambao hamjazaliwa, kwa haraka sana mlikuja katika maisha yetu, haraka sana mliondoka, sikupata nafasi ya kukutana nanyi, kuna mengi sana nataka kusema, mawazo haya yote yanazunguka kichwa changu, inanifanya mwendawazimu, ingawa muliishi kwa wiki fupi 13 tu, mulipendwa sana, nilitamani ningewabeba, nilitamani nihisi mguso wenu, naomba kwamba kwenye maisha mengine tutapata nafasi ya kuonana.

Mungu hutoa na kutwaa kadri ya mipango yake na hatuwezi laumu, ila tunaomba ni kwa sababu na mipango mizuri aliyotuwekea sisi, tumejifunza kwa maumivu sana lakini hatutaacha kujaribu tena na tena, na naapa muda ambao kaka zenu na dada zenu wakija duniani, hii dunia itakuwa zaidi ya tayari kwa ajili yao.

Baba yenu mpendwa.)

Post hiyo imeibua hisia nyingi huku wengi wao wakuwapa pole, na wengine wakiwapondea na kusema kuwa walikuwa wanadanganya kwani mwandada huyo hakuwahi kushika mimba.

Umetafsiriwa toka lugha ya kingereza.[/use
He z stupid
 
Wewe?Subiri tu kuna siku nitakuja na makavu live ya wanaojidai kumponda Wema ni malaya huku JF wakati wao tu na hizi fake ID's wameshindwa kuuficha umalaya wao.
Kutwa nzima kumsema Wema malaya wakati wao wameoza sio wake kwa waume,ooooh mara mbaya wakati wao wamevimbiana kama viboko.
Subiri tu,siku yao yaja...

Waione vipenzi vyangu Charity Diva Beyonce lara 1
Poleni kwa msiba
 
Idrisa kabadilika sana,sitaki kuamini ndio yule niliyekuwa nampigia campaign kwenye big brother eti sa hivi kawa mbulula kiasi hiki mxxxm
 
Huyo Dr kanikumbusha ile clip ipo whatsapp Dr anawapa wagonjwa majibu hadharani eti "mwenye gonorrhea" afu anamchana pale we si nilikutibu sahivi tena una gonorrhea naona umemaliza mgonjwa ya binadamu soon utaugua ya wanyama  huenda ndo huyo Dr wa Agakhan 😀😀😀😀

Daktari gani aliyekula kiapo cha Hippocratic anaweza kukiuka miiko ya taaluma yake tena kuhusu masuala ya udaku?

Natilia shaka kidogo ingawa sitanshangaa kama wapo wa dizaini hiyo maana nchi imeoza hii.
 
Back
Top Bottom