Tehe nimependa hapo uliposema JesusIla mazee, hebu fikiria hili...
Watu wanashinda kwenye mitandao wakiraruana kisa 'mimba ya Wema'.
Mimba ambayo pengine hata haikuwepo.
Jingine la kushangaza zaidi, kwani mimba ni jambo la ajabu hivyo mpaka liwe kivutio kama ilivyokuwa hii 'mimba' ya huyo binti?
Karibu kila siku mimi naona wanawake wenye mimba. Hivyo kwangu ni jambo la kawaida kabisa la kimaisha.
Lakini hiyo ya huyo binti ikawa ni gumzo na chanzo cha watu kuchukua pande na kuanza kurushiana matusi.
Hako katoto katarajiwa kakabatizwa hadi jina eti 'mtoto wa taifa'.
Like, seriously? For real, for real?
Hahahaaa, I mean, you can't make this shit up. It's real.
Good grief....Jesus take the wheel!!!
Tehe nimependa hapo uliposema Jesus
SONG" mgumba sasa amezaa, mgumba sasa amezaa tena kwa fujo mapacha wa taatu mmoja dume kama baba yake........wawili majike kama mama yao copyright eeeh!!. Wapi muumin mwijuma.wema akapime ukimwi na mimba ya kutangaziana wacha itoke lakini mgumba azae ya wapi hayo? labda kwenye biblia
huu mkwala wako umenishtua sana Nifah.. Nahisi kwenye listi nami ntakuwemo lakini kama sitakuwemo basi nami ntakuongeza na majina mengine iwapo sitayaonaWewe?Subiri tu kuna siku nitakuja na makavu live ya wanaojidai kumponda Wema ni malaya huku JF wakati wao tu na hizi fake ID's wameshindwa kuuficha umalaya wao.
Kutwa nzima kumsema Wema malaya wakati wao wameoza sio wake kwa waume,ooooh mara mbaya wakati wao wamevimbiana kama viboko.
Subiri tu,siku yao yaja...
Waione vipenzi vyangu Charity Diva Beyonce lara 1
Una uhakika gani kwamba huyo daktari kahusika kumsafisha? Labda kapewa rushwa ili aseme hivyo alivyosema je? Usimwamini sana Wema, kumbuka ile nyumba ya K,nyama alisema ni yake, baada ya kuiba umeme wa mamilioni ilibidi mwenye nyumba halisi ndio awajibike, kwa sababu bili zilisoma kwa jina lake. Dunia ina mambo hii
Nakubaliana na wewe,Mimba sio Pipi ya kudolishia mtaa mzima, kuifanyia matangazo na kuitumia kuwachapia wenzake.
Akome mashauzi!!!
Ngoja kwanza, yaani daktari kakuambia habari za Wema kuhusu mimba yake?
Huyo ni daktari kweli au ndo sampuli ya akina dokta Mwaka na Manyaunyau?
Daktari kabisa aliyekula kiapo cha Hippocratic?
Aisee!!!
Sijaona ajabu,
Coz kila kitu hutegemea mazingira yaliyopo,
What if ni mume wangu, kaka yangu, mjomba wangu, rafiki yangu,
Tumekaa mezani tunapata chakula then zikaja story hizo,
Na pia sidhani kama ni siri,
Ila ni katika ile hali ya kumsikitikia mtu aliyepatwa na janga hilo.
My dear,pls naomba nawe relax, nakuelewa sana.Ungeelewa point yangu kwanza,
Anyway sipo kwa ajili ya kumdefend kwa matukio yake,
Nilichotaka kuthibitisha ni uwepo wa mimba yake na imetoka kweli,
Nimethibitishiwa na daktari ninae muamini.
So relax.
Hahahahahaa basi itabidi tuwasiliane PM kwanza kupanga list vizuri.huu mkwala wako umenishtua sana Nifah.. Nahisi kwenye listi nami ntakuwemo lakini kama sitakuwemo basi nami ntakuongeza na majina mengine iwapo sitayaona
Hippocratic oath haipaswi kukiukwa. Hivi unaijua hata ni nini?
Awe mumeo, kaka yako, mjomba wako, baba yako, mama yako, au rafiki yako, kama amekula hicho kiapo hapaswi kukikiuka.
Lakini kwa Tanzania wala sishangai maana hakuna umakini wa kutukuka katika fani yoyote ile na ndo maana tupo kwenye hali tuliyonayo.
Hali ya Tanzania siyo bahati mbaya. Ina sababu zake tena za msingi kabisa.
My dear,pls naomba nawe relax, nakuelewa sana.
Unaona mie nimeamua kukaa kimya,hakuna haja tena ya yote haya.
Kama IPO,IPO TU!
Asante!Wema sepetu anajiwekea historia ya mwanamke aliyepitia mapito ya masimango, kejeli na dharau...yawezekana hapo ulikuwa usichana una msumbua ila nadhani akikaa anaijutia historia yake. Yote kwa yote kama kweli alikuwa ana mimba au hana alidanganya anajua yeye na Mungu wake ila najua akikaa peke yake anajikia vibaya kwa anayoyapitia na naamini anapenda sana naye aje aitwe mama. Haya yote ni Mapito tu ndugu zangu kuna wanawake humu ndani wako mbele kumtusi wema washukulu tu ID fake zinawasaidia lakini wamepitia maisha ya ajabu kuliko huyu wema waliomkomalia.
Out of Point.
Tchaoooo!
hiyo itakuwa vita ya saba ya dunia maana kuna vichwa ambavyo humu ndani tu vinapigwa kama Mipira wa gombania goliHahahahahaa basi itabidi tuwasiliane PM kwanza kupanga list vizuri.
It's kinda boring,inatosha sasa.
Wema malaya,Wema malaya....eeish.
Hebu tukutane PM tafadhwali....hiyo itakuwa vita ya saba ya dunia maana kuna vichwa ambavyo humu ndani tu vinapigwa kama Mipira wa gombania goli