Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Hata kama mapacha jamani wiki 6 tumbo kubwa vile??? Au mi ndo sijaelewa kizungu
Idris hata wewe
 
Ila mazee, hebu fikiria hili...

Watu wanashinda kwenye mitandao wakiraruana kisa 'mimba ya Wema'.

Mimba ambayo pengine hata haikuwepo.

Jingine la kushangaza zaidi, kwani mimba ni jambo la ajabu hivyo mpaka liwe kivutio kama ilivyokuwa hii 'mimba' ya huyo binti?

Karibu kila siku mimi naona wanawake wenye mimba. Hivyo kwangu ni jambo la kawaida kabisa la kimaisha.

Lakini hiyo ya huyo binti ikawa ni gumzo na chanzo cha watu kuchukua pande na kuanza kurushiana matusi.

Hako katoto katarajiwa kakabatizwa hadi jina eti 'mtoto wa taifa'.

Like, seriously? For real, for real?

Hahahaaa, I mean, you can't make this shit up. It's real.

Good grief....Jesus take the wheel!!!
Tehe nimependa hapo uliposema Jesus
 
wema akapime ukimwi na mimba ya kutangaziana wacha itoke lakini mgumba azae ya wapi hayo? labda kwenye biblia
SONG" mgumba sasa amezaa, mgumba sasa amezaa tena kwa fujo mapacha wa taatu mmoja dume kama baba yake........wawili majike kama mama yao copyright eeeh!!. Wapi muumin mwijuma.
 
Wewe?Subiri tu kuna siku nitakuja na makavu live ya wanaojidai kumponda Wema ni malaya huku JF wakati wao tu na hizi fake ID's wameshindwa kuuficha umalaya wao.
Kutwa nzima kumsema Wema malaya wakati wao wameoza sio wake kwa waume,ooooh mara mbaya wakati wao wamevimbiana kama viboko.
Subiri tu,siku yao yaja...

Waione vipenzi vyangu Charity Diva Beyonce lara 1
huu mkwala wako umenishtua sana Nifah.. Nahisi kwenye listi nami ntakuwemo lakini kama sitakuwemo basi nami ntakuongeza na majina mengine iwapo sitayaona
 
kila kinachotokea kwa mwanadamu basi yote huwa ni Mipango ya Mungu. Lakini iwapo Wema Hakuwa na Mimba na Ilikuwa ni furahisha genge basi Imani ya wale wanao muabudu na kumuona kama kioo chao katika Jamii naweza kusema kuwa Wamepotea na wanahitaji kumkwepa
 
Una uhakika gani kwamba huyo daktari kahusika kumsafisha? Labda kapewa rushwa ili aseme hivyo alivyosema je? Usimwamini sana Wema, kumbuka ile nyumba ya K,nyama alisema ni yake, baada ya kuiba umeme wa mamilioni ilibidi mwenye nyumba halisi ndio awajibike, kwa sababu bili zilisoma kwa jina lake. Dunia ina mambo hii

Ungeelewa point yangu kwanza,
Anyway sipo kwa ajili ya kumdefend kwa matukio yake,
Nilichotaka kuthibitisha ni uwepo wa mimba yake na imetoka kweli,
Nimethibitishiwa na daktari ninae muamini.
So relax.
 
Mimba sio Pipi ya kudolishia mtaa mzima, kuifanyia matangazo na kuitumia kuwachapia wenzake.
Akome mashauzi!!!
Nakubaliana na wewe,
Wala hakutakiwa kuitangaza kama promosheni ya Sabuni,
Yeye angekaa kimyaaa coz haifichiki watu wangejionea wenyewe.
 
Ngoja kwanza, yaani daktari kakuambia habari za Wema kuhusu mimba yake?

Huyo ni daktari kweli au ndo sampuli ya akina dokta Mwaka na Manyaunyau?

Daktari kabisa aliyekula kiapo cha Hippocratic?

Aisee!!!

Sijaona ajabu,
Coz kila kitu hutegemea mazingira yaliyopo,
What if ni mume wangu, kaka yangu, mjomba wangu, rafiki yangu,
Tumekaa mezani tunapata chakula then zikaja story hizo,

Na pia sidhani kama ni siri,
Ila ni katika ile hali ya kumsikitikia mtu aliyepatwa na janga hilo.
 
Hippocratic oath haipaswi kukiukwa. Hivi unaijua hata ni nini?

Awe mumeo, kaka yako, mjomba wako, baba yako, mama yako, au rafiki yako, kama amekula hicho kiapo hapaswi kukikiuka.

Lakini kwa Tanzania wala sishangai maana hakuna umakini wa kutukuka katika fani yoyote ile na ndo maana tupo kwenye hali tuliyonayo.

Hali ya Tanzania siyo bahati mbaya. Ina sababu zake tena za msingi kabisa.
 
Ungeelewa point yangu kwanza,
Anyway sipo kwa ajili ya kumdefend kwa matukio yake,
Nilichotaka kuthibitisha ni uwepo wa mimba yake na imetoka kweli,
Nimethibitishiwa na daktari ninae muamini.
So relax.
My dear,pls naomba nawe relax, nakuelewa sana.
Unaona mie nimeamua kukaa kimya,hakuna haja tena ya yote haya.
Kama IPO,IPO TU!
 
huu mkwala wako umenishtua sana Nifah.. Nahisi kwenye listi nami ntakuwemo lakini kama sitakuwemo basi nami ntakuongeza na majina mengine iwapo sitayaona
Hahahahahaa basi itabidi tuwasiliane PM kwanza kupanga list vizuri.
It's kinda boring,inatosha sasa.
Wema malaya,Wema malaya....eeish.
 
Hippocratic oath haipaswi kukiukwa. Hivi unaijua hata ni nini?

Awe mumeo, kaka yako, mjomba wako, baba yako, mama yako, au rafiki yako, kama amekula hicho kiapo hapaswi kukikiuka.

Lakini kwa Tanzania wala sishangai maana hakuna umakini wa kutukuka katika fani yoyote ile na ndo maana tupo kwenye hali tuliyonayo.

Hali ya Tanzania siyo bahati mbaya. Ina sababu zake tena za msingi kabisa.

Out of Point.
Tchaoooo!
 
Wema sepetu anajiwekea historia ya mwanamke aliyepitia mapito ya masimango, kejeli na dharau...yawezekana hapo ulikuwa usichana una msumbua ila nadhani akikaa anaijutia historia yake. Yote kwa yote kama kweli alikuwa ana mimba au hana alidanganya anajua yeye na Mungu wake ila najua akikaa peke yake anajikia vibaya kwa anayoyapitia na naamini anapenda sana naye aje aitwe mama. Haya yote ni Mapito tu ndugu zangu kuna wanawake humu ndani wako mbele kumtusi wema washukulu tu ID fake zinawasaidia lakini wamepitia maisha ya ajabu kuliko huyu wema waliomkomalia.
Asante!
 
Kweli film za bongo mi sipendi tu Kwenye umaliziaji sasa Mimi nilishtuka sikufuatilia flm hii ya wema maana nilijua haina mwisho wa kupendeza, na mungu awasamehe yaani mtu mzinzi kama shetani halafu mwamsifu kabeba mimba kumbe mimba yenyewe sifuri duh!! Fuatilieni wenye moyo wa chuma
 
Hahahahahaa basi itabidi tuwasiliane PM kwanza kupanga list vizuri.
It's kinda boring,inatosha sasa.
Wema malaya,Wema malaya....eeish.
hiyo itakuwa vita ya saba ya dunia maana kuna vichwa ambavyo humu ndani tu vinapigwa kama Mipira wa gombania goli
 
hiyo itakuwa vita ya saba ya dunia maana kuna vichwa ambavyo humu ndani tu vinapigwa kama Mipira wa gombania goli
Hebu tukutane PM tafadhwali....
Mambo moto haya.....
 
Back
Top Bottom