Ila ujumbe aloandika Idriss amegoogle, hii inamaanisha nini kukopi na kupaste? Wazee wa drama, attention seekers, dah inahuzunishaMmh kama walikuwa wanafake ni juu yao na Mungu wao, but kiukweli nimeumia na hao watoto kama wangu vile, si kitu cha kuwish kimkute mtu yeyote yule, hata kama anakukera kiasi gani au unamchukiaje. Mungu wasaidie wajawazito wote wajifungue salama watoto wao.
hadi kocha??Yaani timu, mwenye timu, meneja wa timu, daktari wa timu.....Wooote akili zao sawa.
Ebhana eeh... kumbe unakafahamu vizuri haka kabinti?Hivi kuna watu waliamini kuwa Wema ana mimba kweli?
Huyo dogo alikuwa shemeji yangu kitambo kabla Tz haijamfahamu.
Katoa sana mimba za kaka yangu
Kwahiyo kanumba ndio mchawi wa wema ha ha ha ha haTeh Teh kuna gazeti limeandika mimba ya wema ilikuwa ni puto....
Nikikumbuka maneno ya Wema aliyoyasema pale Clouds ambayo anadai kuwa aliambiwa na Kanumba baada ya kutoa mimba yake...
Wema alisema Kanumba alisema kuwa sitokusamehe kwa kitendo cha kutoa mimba yangu na unajuaje ndiyo huyo huyo Mungu kakujalia?.....
mumie hivi ni kweli jaman mtu unaweza kutoa mimba ukajitangaa redioni?Kwahiyo kanumba ndio mchawi wa wema ha ha ha ha ha
Yani hawa wanaomuingiza Mungu kwenye huu upuuzi wa wema wanakera, wanamfanya Mungu mjomba wao mxyuuuuMkuu hakuna kiumbe kilicho kuwepo! Hakuna kitu kilicho toka kwa sababu hakuna kilicho ingia. ..!
Time will tell....
ivi mtu unaweza kusema uongo mkubwa kiasi hiki?Mkuu hakuna kiumbe kilicho kuwepo! Hakuna kitu kilicho toka kwa sababu hakuna kilicho ingia. ..!
Time will tell....
Madame so umeamini wema was preg? we ni mama hivi wiki 13 tumbo liwe vile? Wiki 13 jinsia za watoto zionekane?mumie hivi ni kweli jaman mtu unaweza kutoa mimba ukajitangaa redioni?
Na alisema maneno haya huwa yana mjia sana ...na hujuta..Yani hawa wanaomuingiza Mungu kwenye huu upuuzi wa wema wanakera, wanamfanya Mungu mjomba wao mxyuuuu
kusemaukweli nimeumia sanaaa kwa hii story.
yaani sijui ni kwann nasikitika as if ni mimi ndo nimeharibikiwa na mimba. siwez kusema ama kumwombea mtu vibaya hataa kama namchukia kiasi gani kwamba apate mkasa kama huu. Yaani jaman yale maudhi ya mimba siku za kwanza wiki 1-12 yanavyokuwaga afu itoke jaman inauma acheni matani.
mbaya zaid mimba ya kuharibika inaumaga bora tena na uchungu wa kuzaa. sijui ameumiaje. maumivu ya kuumwa na yale ya sononeko moyoni.
Kila siku nawaombea wanawake wote ni wapate watoto jaman nawao walee kama wengine na wale wasioolewa nao pia waolewe ili wajue utamu wa kuish na mume
Wema hashindwi...! Binafsi sijawai kuamini kama alikuwa na Mimba...ivi mtu unaweza kusema uongo mkubwa kiasi hiki?