Kwa wema haishindikani mama, alisema kanunua nyumba akamuita zamaradi, video tukaoneshwa mweeh kumbe hata chumba kimoja hanaivi mtu unaweza kusema uongo mkubwa kiasi hiki?
Haaaa ukweli wa wimbo wa Neema unaanza kuonekana taratibu
Wacha movie iendelee
Ha ha ha ha ha nyk weweFURAHA NILIYONAYO HAIELEZEKI,NIMECHINJA KUKU LEO NYUMBANI KWANGU KUSHEREHEKEA KIFO HIKI,TENA NIMEMCHINJA JOGOO WANGU PENDWA
Ahsante.....We mrembo huwa nakupenda tu, nikiona comments zako huwa najisika raha sana sijui kwanini.
Umenena vema na hakikusemaukweli nimeumia sanaaa kwa hii story.
yaani sijui ni kwann nasikitika as if ni mimi ndo nimeharibikiwa na mimba. siwez kusema ama kumwombea mtu vibaya hataa kama namchukia kiasi gani kwamba apate mkasa kama huu. Yaani jaman yale maudhi ya mimba siku za kwanza wiki 1-12 yanavyokuwaga afu itoke jaman inauma acheni matani.
mbaya zaid mimba ya kuharibika inaumaga bora tena na uchungu wa kuzaa. sijui ameumiaje. maumivu ya kuumwa na yale ya sononeko moyoni.
Kila siku nawaombea wanawake wote ni wapate watoto jaman nawao walee kama wengine na wale wasioolewa nao pia waolewe ili wajue utamu wa kuish na mume
Missing youUmaarufu nao ni kipaji maana sio kwa kiki hizo ila mm nlijua tu kua wema hana kitu
Wema needs serious help before its too late-mwisho wa yote haya goals hazifikiwi suicidal tendencies zina creep in-tutakuja mpoteza binti huyu,sababu stage aliyofikia she does not know the difference- nimejaribu sana ku analyse tabia zake-conclusion she is a replica of her mum-its in the genesYote tuyaseme, tuyacheke, tuyadharau then tuyaache ila ubaya unapokuja ni kwamba wasichana/wadada/wamama (wengi sana) wanaishi Maisha ya kuwaigiza hawa the so called superstars! Kizazi hiki cha utandawazi kinaumizwa right at the cole (master soul), hii mitandao inaharibu mno vijana na ndio main source ya kuvurugika kwa maadili sehemu kubwa duniani tena kwa kasi ya rocket!!
Wema ni binaadam kama sisi wote lakini pia ni binti wa mwanamke mwenzetu ambae kwa kiasi kikubwa mama wema sepetu ndio remote ya mwanae huyo! Mwanamke ndio mlezi wa jamii na matendo yanayoendelea sasa kwa wasichana/wadada/wamama ndio yanatoa matokeo ya kutisha tunayoyaona sasa!!
Wema na wenzie kama yeye wanahitaji sana ushauri (life coaching) wa hali ya juu maana wanayoyafanya hayawaathiri wao pekee ila mpaka ndani ya jamii zetu za karibu (watoto wetu ama Ndugu zetu)! Tuwasaidie wabadilike na kufata njia sahihi, tuwasitiri aibu zao ili na zetu zisitiriwe! !
Ila pia kwa watoto wa kike ukikosa muelekeo na muongozo sahihi wakati wa kupevuka (adolescent age **foolish age) kuna uwezekano wa asilimia kubwa sana ukazeeka ukiwa kicheche!!
***WEMA SEPETU TIME TO GROW UP IS NOW OR never!! Shauri yako!
Wema needs serious help before its too late-mwisho wa yote haya goals hazifikiwi suicidal tendencies zina creep in-tutakuja mpoteza binti huyu,sababu stage aliyofikia she does not know the difference- nimejaribu sana ku analyse tabia zake-conclusion she is a replica of her mum-its in the genes