Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Kuna uzi humu ulidai makampuni kadhaa yametangaza kumdhamini mtoto ajaye......sijui nani aliwaambia kuna mtoto hapo? Kaazi kwelikweli
 
Oooh!, Ney anatafuta kk !! Please I beg, haya tena mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni (magufulity law) ...samahanini lakini Kama nimechanganya mada mi tu
 
Ama kweli usupester shughuli,ngoja tuone wale team wake watasemaje,hahahah huyu dada kwa drama n kiboko aisee,ndo maana watu wanamwambia roho bado inapwita kwa domo,lkn haya maisha yake hadi lini?mbona kuna wenzake wametulia tu na wakapata waume zao kwann yy tu,mwisho wa haya yote n nn ilihali umri wake unaeenda khaaaa
 
FURAHA NILIYONAYO HAIELEZEKI,NIMECHINJA KUKU LEO NYUMBANI KWANGU KUSHEREHEKEA KIFO HIKI,TENA NIMEMCHINJA JOGOO WANGU PENDWA
Ha ha ha ha ha nyk wewe
Screenshot_2016-02-17-13-47-25.png
 
Yote tuyaseme, tuyacheke, tuyadharau then tuyaache ila ubaya unapokuja ni kwamba wasichana/wadada/wamama (wengi sana) wanaishi Maisha ya kuwaigiza hawa the so called superstars! Kizazi hiki cha utandawazi kinaumizwa right at the cole (master soul), hii mitandao inaharibu mno vijana na ndio main source ya kuvurugika kwa maadili sehemu kubwa duniani tena kwa kasi ya rocket!!

Wema ni binaadam kama sisi wote lakini pia ni binti wa mwanamke mwenzetu ambae kwa kiasi kikubwa mama wema sepetu ndio remote ya mwanae huyo! Mwanamke ndio mlezi wa jamii na matendo yanayoendelea sasa kwa wasichana/wadada/wamama ndio yanatoa matokeo ya kutisha tunayoyaona sasa!!

Wema na wenzie kama yeye wanahitaji sana ushauri (life coaching) wa hali ya juu maana wanayoyafanya hayawaathiri wao pekee ila mpaka ndani ya jamii zetu za karibu (watoto wetu ama Ndugu zetu)! Tuwasaidie wabadilike na kufata njia sahihi, tuwasitiri aibu zao ili na zetu zisitiriwe! !

Ila pia kwa watoto wa kike ukikosa muelekeo na muongozo sahihi wakati wa kupevuka (adolescent age **foolish age) kuna uwezekano wa asilimia kubwa sana ukazeeka ukiwa kicheche!!

***WEMA SEPETU TIME TO GROW UP IS NOW OR never!! Shauri yako!
 
Kwa mapacha wangu ambao hamjazaliwa, kwa haraka sana mlikuja katika maisha yetu, haraka sana mliondoka, sikupata nafasi ya kukutana nanyi, kuna mengi sana nataka kusema, mawazo haya yote yanazunguka kichwa changu, inanifanya mwendawazimu, ingawa muliishi kwa wiki fupi 13 tu, mulipendwa sana, nilitamani ningewabeba, nilitamani nihisi mguso wenu, naomba kwamba kwenye maisha mengine tutapata nafasi ya kuonana.

Mungu hutoa na kutwaa kadri ya mipango yake na hatuwezi laumu, ila tunaomba ni kwa sababu na mipango mizuri aliyotuwekea sisi, tumejifunza kwa maumivu sana lakini hatutaacha kujaribu tena na tena, na naapa muda ambao kaka zenu na dada zenu wakija duniani, hii dunia itakuwa zaidi ya tayari kwa ajili yao.

Baba yenu mpendwa.)

Post hiyo imeibua hisia nyingi huku wengi wao wakuwapa pole, na wengine wakiwapondea na kusema kuwa walikuwa wanadanganya kwani mwandada huyo hakuwahi kushika mimba.

Umetafsiriwa toka lugha ya kingereza.
 
kusemaukweli nimeumia sanaaa kwa hii story.
yaani sijui ni kwann nasikitika as if ni mimi ndo nimeharibikiwa na mimba. siwez kusema ama kumwombea mtu vibaya hataa kama namchukia kiasi gani kwamba apate mkasa kama huu. Yaani jaman yale maudhi ya mimba siku za kwanza wiki 1-12 yanavyokuwaga afu itoke jaman inauma acheni matani.

mbaya zaid mimba ya kuharibika inaumaga bora tena na uchungu wa kuzaa. sijui ameumiaje. maumivu ya kuumwa na yale ya sononeko moyoni.

Kila siku nawaombea wanawake wote ni wapate watoto jaman nawao walee kama wengine na wale wasioolewa nao pia waolewe ili wajue utamu wa kuish na mume
Umenena vema na haki
 
What a joke?! Hawa watu wamelogwaaaaaaa au ujinga uliopitiliza? Naye anataka aitwe mama! Kazi kweli kweli.
 
Yote tuyaseme, tuyacheke, tuyadharau then tuyaache ila ubaya unapokuja ni kwamba wasichana/wadada/wamama (wengi sana) wanaishi Maisha ya kuwaigiza hawa the so called superstars! Kizazi hiki cha utandawazi kinaumizwa right at the cole (master soul), hii mitandao inaharibu mno vijana na ndio main source ya kuvurugika kwa maadili sehemu kubwa duniani tena kwa kasi ya rocket!!

Wema ni binaadam kama sisi wote lakini pia ni binti wa mwanamke mwenzetu ambae kwa kiasi kikubwa mama wema sepetu ndio remote ya mwanae huyo! Mwanamke ndio mlezi wa jamii na matendo yanayoendelea sasa kwa wasichana/wadada/wamama ndio yanatoa matokeo ya kutisha tunayoyaona sasa!!

Wema na wenzie kama yeye wanahitaji sana ushauri (life coaching) wa hali ya juu maana wanayoyafanya hayawaathiri wao pekee ila mpaka ndani ya jamii zetu za karibu (watoto wetu ama Ndugu zetu)! Tuwasaidie wabadilike na kufata njia sahihi, tuwasitiri aibu zao ili na zetu zisitiriwe! !

Ila pia kwa watoto wa kike ukikosa muelekeo na muongozo sahihi wakati wa kupevuka (adolescent age **foolish age) kuna uwezekano wa asilimia kubwa sana ukazeeka ukiwa kicheche!!

***WEMA SEPETU TIME TO GROW UP IS NOW OR never!! Shauri yako!
Wema needs serious help before its too late-mwisho wa yote haya goals hazifikiwi suicidal tendencies zina creep in-tutakuja mpoteza binti huyu,sababu stage aliyofikia she does not know the difference- nimejaribu sana ku analyse tabia zake-conclusion she is a replica of her mum-its in the genes
 
Upo sahihi mkuu but Wema is so much more worse than her mama, maana Wema na dunia ya sasa ya mtandao imetafuna pia ubongo!

There is still time akiamua maana wanawake wengi tumepitia vipindi vya hatari wengine tulijeruhiwa during those times ila tumeweza kusimama tena, siunajua Wanasema it ain't over until the phat man sings! AJICHAMBUE before hawajamchambua!
 
Back
Top Bottom