Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

Wema hata abadilike vipi? itakuwa vigumu akiwa Tanzania,she is carrying too much gabbage,at least labda nje wazungu hawa mind sana-Kwa Tanzania any man coming near her-huyo mtu atatengwa na family-kwa kifupi she is carrying too much gabbage for a Tanzanian to handle
 
Duu, pole sana Idris..., ingekua heri ungemsikiliza mwenzako; anyway lakini wema yuko bomba.

 
Uongo mwingine bwana......
Wema alishanichosha mimi, mara mimba, mara imeharibika, khaaa
 
Jamani kuharibu mimba ni jambo la kawaida,
Tatizo ni hilo la kuitangaza sana,
Ndio mana tunashauriwa na wazee wetu hata madaktari kua tusitangaze mimba angalau mpk ifike miezi 5,
Mimba changa hua rahisi sana kutoka,

Pia kitu nilichokua namsikitikia huyu dada ni kujiachia kwny kumbi za starehe na kuvaa high heels,
Wkt uzazi wenyewe wa kuusotea.
Ilitakiwa ajipe 'bed rest' mpk ikomae,
I hope next time watakua makini.
 
And hellow,
Yec, Wema was pregnant,
Kuna daktari wa Agakhan ameniambia na hata kusafishwa kasafishiwa pale,
So tunaweza kumpa pole au kukaa kimya kuliko kumbeza.
 

😀😀😀😀😀😀😛
 
And hellow,
Yec, Wema was pregnant,
Kuna daktari wa Regency ameniambia na hata kusafishwa kasafishiwa pale,
So tunaweza kumpa pole au kukaa kimya kuliko kumbeza.

not Regency ni Agakhan
 
Idriss nae ni kilaza sijaona, pesa za BBA kwenda kutafutia kick kumake headlines, nae atajoin kule TV1 very soon akahost kipind ka mwenzie mwisho mwampamba very soon!
Mwisho Mwampamba ni tofauti sana na huyu 'a$.$ hole' wa Arusha. Mwisho hakupata chochote kutoka BBA kwa kuwa hakuwa mshindi (mshindi alikuwa ni Cherise Makubale wa Zambia), na normally BBA humpa pesa mshindi tu, sio first runner. Inashangaza sana kwamba dogo badala ya kuwekeza pesa mahali ambapo atavuna faida (kama DSE), amewekeza kwa ka-haba!
 
kutoka kwa madame ngamia the real Tanzania thief
 
Inasikitisha na kuchekesha kwakweli
Nifah Dinazarde warumi Madame B Ms.Lincoln brenda18
Nilidhan baada ya kutoka BBA idris atakua miongoni mwa vijana watakao wa inspire vijana wenzao kwa kuanzisha kampuni ya filamu au biashara yeyote kama alivyodai apo awali, matokeo yake umaarufu umemzidi nguvu, nilichoka nilivyowaona clouds wakihojiwa na diva wanavyokiss na idris, duh mpaka nilichola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…