Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Wazalendo wapo wengi sana, ishu hapa badala ya ku deal na ufisadi wata deal na mvujisha taarifaAkiwaambisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushukwa kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii.
Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za ufisadi wa kutisha unaofanywa na Rais Samia na Watu wake wa karibu wakiwemo Viongozi wa juu kama zilivyoripotiwa na Mwanamitandao na Mwanaharakati Mange Kimambi ni za kweli.
Kwa maneno aliyotamka leo Rais Samia. Ni uthibitisho tosha kuwa bado Tanzania tuna watumishi wachache ambao ni Wazalendo kweli na wanaumia kuona Viongozi wachache wakijinufaisha binafsi kwa kuiba kodi za masikini wa Tanzania na hivyo kuamua kuanika maovu hayo hadharani.
Napenda kuwapongeza watumishi wazalendo kweli ambao wamechoshwa na namna Wanasiasa na Viongozi wachache wanabyolifisadi hili taifa kwa kiwango cha kutisha tena kwa fedha na mali za walipakodi masikini wa Taifa hili.
Hongera pia Mange Kimambi. Wewe ni mzalendo kweli na Taifa hili litakukumbuka daima kwa namna ulivyosimama kuwatetea masikini wake ambao wamenyimwa haki ya kuzungumza na Watawala makatili.
Lord denning
Mwanza
Si.alisema.wale kwa urefu wa kwamba mbona analalama tenaAkiwaambisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushukwa kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii.
Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za ufisadi wa kutisha unaofanywa na Rais Samia na Watu wake wa karibu wakiwemo Viongozi wa juu kama zilivyoripotiwa na Mwanamitandao na Mwanaharakati Mange Kimambi ni za kweli.
Kwa maneno aliyotamka leo Rais Samia. Ni uthibitisho tosha kuwa bado Tanzania tuna watumishi wachache ambao ni Wazalendo kweli na wanaumia kuona Viongozi wachache wakijinufaisha binafsi kwa kuiba kodi za masikini wa Tanzania na hivyo kuamua kuanika maovu hayo hadharani.
Napenda kuwapongeza watumishi wazalendo kweli ambao wamechoshwa na namna Wanasiasa na Viongozi wachache wanabyolifisadi hili taifa kwa kiwango cha kutisha tena kwa fedha na mali za walipakodi masikini wa Taifa hili.
Hongera pia Mange Kimambi. Wewe ni mzalendo kweli na Taifa hili litakukumbuka daima kwa namna ulivyosimama kuwatetea masikini wake ambao wamenyimwa haki ya kuzungumza na Watawala makatili.
Lord denning
Mwanza
Tuwekee tuzione hizo nyarakaAkiwaambisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushukwa kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii.
Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za ufisadi wa kutisha unaofanywa na Rais Samia na Watu wake wa karibu wakiwemo Viongozi wa juu kama zilivyoripotiwa na Mwanamitandao na Mwanaharakati Mange Kimambi ni za kweli.
Kwa maneno aliyotamka leo Rais Samia. Ni uthibitisho tosha kuwa bado Tanzania tuna watumishi wachache ambao ni Wazalendo kweli na wanaumia kuona Viongozi wachache wakijinufaisha binafsi kwa kuiba kodi za masikini wa Tanzania na hivyo kuamua kuanika maovu hayo hadharani.
Napenda kuwapongeza watumishi wazalendo kweli ambao wamechoshwa na namna Wanasiasa na Viongozi wachache wanabyolifisadi hili taifa kwa kiwango cha kutisha tena kwa fedha na mali za walipakodi masikini wa Taifa hili.
Hongera pia Mange Kimambi. Wewe ni mzalendo kweli na Taifa hili litakukumbuka daima kwa namna ulivyosimama kuwatetea masikini wake ambao wamenyimwa haki ya kuzungumza na Watawala makatili.
Lord denning
Mwanza
Yote yanayofanywa sirini lazima yatakuja one kana kwenye mwanga siku mojaYule Dada amruhusu kazi yake ya udukuzi na kuanika uovu wa watu wake ili amsaidie
Na Kuna watakao angushiwa jumba bovu.Wazalendo wapo wengi sana, ishu hapa badala ya ku deal na ufisadi wata deal na mvujisha taarifa
Namna Gani nizificheAmeenda mbali zaidi na kuwa shauri wawe makini katika kula kwa urefu wa kamba pia ame toa njia za kuficha mali bila kujulikana
Mbona kina Nyerere mwenyewe hakutaka kujilimbikizia mali na perhaps hakuna kijukuu Wala kitukuu kitakacho kuja kuwa Raisi wa TANZANIAMtu yeyote atakayekuwa madarakani hapa nchini lazima ajilimbikizie mali.
Tofauti ni viwango.
Mawe yatainuka kizazi hiki hii mbinu ni kulibomoa taifaNa Kuna watakao angushiwa jumba bovu.
Yaan ni NO MERCY watafinywa na kuuwawa kikatili na hawata ziona Tena familia zao.
Wakiuwawa hakuna shida. Rekodi zitawekwa kama sehemu ya ushahidi wa kwenda ICCNa Kuna watakao angushiwa jumba bovu.
Yaan ni NO MERCY watafinywa na kuuwawa kikatili na hawata ziona Tena familia zao.
Yote haya hayawezi kupita bure.Ufisadi wa hii nchi wala si wa kujificha, kiongozi asiye na B kwenye Accounts zake, huyo labda ana hofu kubwa sana ya Mungu. Waliobaki wote zimetulia, hiki ni kipindi cha chukua chako mapema. Usipokuwa bilionea awamu hii, lini tena utaupata huo ubilionea?
Na kipindi hiki cha uchaguzi, Idara zote zinakula zitakavyo. Kila moja inasema inafanya kuzima kelele, apite kwa kishindo, tekateka, uwauwa, nyamazisha zote ni mabilioni yanatumika. Huduma za kijamii zinazorota, halafu kuna kenge zinafurahia. Uliza wanapata huo mgao? Bora wengine tunaonja za jikoni.
Ni suala la Muda tu, Tanzania LITATOKEA Jambo kubwa sana Sana.Lawama zangu siku zote nitazielekeza kwa JWTZ maana wao wana kiapo cha kuilinda Katiba kwa uzalendo mkubwa alafu hawachukui hatua stahiki dhidi ya hawa Wanasiasa na Viongozi ambao wanainajisi katiba kwa kiwango cha kutisha kwa kufanya ufisadi dhidi ya Watanzania masikini.