Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Aamen!Baraka ziwafikie wote waliobarikiwa.
Aamen!Baraka ziwafikie wote waliobarikiwa.
Unstaka JWTZ wachukue hatua gani?Akiwaapisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushuka kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii.
Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za ufisadi wa kutisha unaofanywa na Rais Samia na Watu wake wa karibu wakiwemo Viongozi wa juu kama zilivyoripotiwa na Mwanamitandao na Mwanaharakati Mange Kimambi ni za kweli.
Kwa maneno aliyotamka leo Rais Samia. Ni uthibitisho tosha kuwa bado Tanzania tuna watumishi wachache ambao ni Wazalendo kweli na wanaumia kuona Viongozi wachache wakijinufaisha binafsi kwa kuiba kodi za masikini wa Tanzania na hivyo kuamua kuanika maovu hayo hadharani.
Napenda kuwapongeza watumishi wazalendo kweli ambao wamechoshwa na namna Wanasiasa na Viongozi wachache wanavyolifisadi hili taifa kwa kiwango cha kutisha tena kwa fedha na mali za walipakodi masikini wa Taifa hili.
Hongera pia Mange Kimambi. Wewe ni mzalendo kweli na Taifa hili litakukumbuka daima kwa namna ulivyosimama kuwatetea masikini wake ambao wamenyimwa haki ya kuzungumza na Watawala makatili.
Hitimisho.
Lawama zangu siku zote nitazielekeza kwa JWTZ maana wao wana kiapo cha kuilinda Katiba kwa uzalendo mkubwa alafu hawachukui hatua stahiki dhidi ya hawa Wanasiasa na Viongozi ambao wanainajisi katiba kwa kiwango cha kutisha kwa kufanya ufisadi dhidi ya Watanzania masikini.
Lord denning
Mwanza
Nadhani kati ya maraisi wa Tanzania amabao hakupenda kujilimbikizia Mali ni Nyerere japo sianuhakika kwa 100%.Mbona kina Nyerere mwenyewe hakutaka kujilimbikizia mali na perhaps hakuna kijukuu Wala kitukuu kitakacho kuja kuwa Raisi wa TANZANIA
Kuiondoa Serikali hii ya kidhalimu madarakani na kusimamia mchakato wa kisimikwa kwa Katiba Mpya iliyojitosheleza na Mfumo mpya wa Uchaguzi. Then kurudisha Serikali ya kiraia.Unstaka JWTZ wachukue hatua gani?
Dah UJINGA mtupuWazalendo wapo wengi sana, ishu hapa badala ya ku deal na ufisadi wata deal na mvujisha taarifa
Nami naona likijaNi suala la Muda tu, Tanzania LITATOKEA Jambo kubwa sana Sana.
Well katiba inaruhusu wao kufanya hivyo, ni moja ya katiba ambazo ziko outdated sanaMtu yeyote atakayekuwa madarakani hapa nchini lazima ajilimbikizie mali.
Tofauti ni viwango.
Na nyie mpunguze kuonja za jikoni.. Chakula kinatufikia kidogo huku.Bora wengine tunaonja za jikoni.
Mwanzisha thread Lord denning hakumsikiliza vizuri Samia. Samia hakusema ni wanaovujisha nayraka ni wakosefu wa maadili. Kasema ni wakosefu wa madili. Awamu hii ukifichuwa ufisadi unaitwa mkosefu wa madili!Wazalendo wapo wengi sana, ishu hapa badala ya ku deal na ufisadi wata deal na mvujisha taarifa
Hata mimi nadhani ndiko tunakoelekea. Samia amepoteza senses zote za kibinadamu na hajali tena chochote. Halafu wanatukejeli wananchi. Makonda kaposti kejeli ya kuwa eti ''hakuzaliwa kuja kuwa maskini''Ni suala la Muda tu, Tanzania LITATOKEA Jambo kubwa sana Sana.
Kwa maneno yake anamaanisha Viongozi kuiba na kufisadi pesa za walipakodi masikini wa Taifa hili ni sawa na hapaswi mtu yeyote kutoa taarifa hizo kwa jamii ya hawa masikini wa TanzaniaWamejisema na hatuna Cha kuwafanya😂😂😂
Uzuri ni kwamba, MUDA ni mwamuzi asiye na upendeleoHata mimi nadhani ndiko tunakoelekea. Samia amepoteza senses zote za kibinadamu na hajali tena chochote. Halafu wanatukejeli wananchi. Makonda kaposti kejeli ya kuwa eti ''hakuzaliwa kuja kuwa maskini''
Wizi haupekiki lakini tupambane tuupunguze. Kuumaliza ubadhirifu tusahau kabisa.Well katiba inaruhusu wao kufanya hivyo, ni moja ya katiba ambazo ziko outdated sana
Hivi hapa Mwanza tuna mtu kweli anayeamini eti JWTZ wachukue hatua kulinda Katiba? Kweli huyu mtu anajua hata anachoandika? I wish kama kweli uko Mwanza basi unaishi Gamboshi!Akiwaapisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushuka kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii.
Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za ufisadi wa kutisha unaofanywa na Rais Samia na Watu wake wa karibu wakiwemo Viongozi wa juu kama zilivyoripotiwa na Mwanamitandao na Mwanaharakati Mange Kimambi ni za kweli.
Kwa maneno aliyotamka leo Rais Samia. Ni uthibitisho tosha kuwa bado Tanzania tuna watumishi wachache ambao ni Wazalendo kweli na wanaumia kuona Viongozi wachache wakijinufaisha binafsi kwa kuiba kodi za masikini wa Tanzania na hivyo kuamua kuanika maovu hayo hadharani.
Napenda kuwapongeza watumishi wazalendo kweli ambao wamechoshwa na namna Wanasiasa na Viongozi wachache wanavyolifisadi hili taifa kwa kiwango cha kutisha tena kwa fedha na mali za walipakodi masikini wa Taifa hili.
Hongera pia Mange Kimambi. Wewe ni mzalendo kweli na Taifa hili litakukumbuka daima kwa namna ulivyosimama kuwatetea masikini wake ambao wamenyimwa haki ya kuzungumza na Watawala makatili.
Hitimisho.
Lawama zangu siku zote nitazielekeza kwa JWTZ maana wao wana kiapo cha kuilinda Katiba kwa uzalendo mkubwa alafu hawachukui hatua stahiki dhidi ya hawa Wanasiasa na Viongozi ambao wanainajisi katiba kwa kiwango cha kutisha kwa kufanya ufisadi dhidi ya Watanzania masikini.
Lord denning
Mwanza
Hakuna sehemu hata moja Africa ambako jeshi limefanikiwa kufanya hivyo.Kuiondoa Serikali hii ya kidhalimu madarakani na kusimamia mchakato wa kisimikwa kwa Katiba Mpya iliyojitosheleza na Mfumo mpya wa Uchaguzi. Then kurudisha Serikali ya kiraia.
Nenda insta nawewe unaweza ukaanza kubisha hamtabiliki wabongoTuwekee tuzione hizo nyaraka