Kwa maneno ya Rais Samia nyaraka zilizovuja mtandaoni kuhusu tuhuma za Ufisadi ni za kweli

Hata mimi nadhani ndiko tunakoelekea. Samia amepoteza senses zote za kibinadamu na hajali tena chochote. Halafu wanatukejeli wananchi. Makonda kaposti kejeli ya kuwa eti ''hakuzaliwa kuja kuwa maskini''
Huyo ndiye anazitafuna haswa.
Gambo alitaka kufunua huo uvundo wakamkandamizia chini.
 
Jeshi linaundwa na watu. Jeshi siyo lidude flani.

Hizo nchi ulizotolea mfano, majeshi yake yalipima upepo yakaona hayawezi kuzuia nguvu ya umma.

Bangladesh ina watu zaidi ya milioni 170. Jeshi la Bangladesh haliwezi kuwazuia watu wote hao, endapo wataamua kufanya jambo kwa idadi kubwa.

Huwezi kuua watu milioni 170 halafu wewe ubaki hai. Na wewe watakuua tu.

Tunisia nako hivyo hivyo. Jeshi lilipima upepo likaona halitoweza kuzuia chochote.

Hayo majeshi hayakufikia uamuzi huo bila kupima upepo unaendaje.

Yalipoona hayatoweza kuwazuia raia, ndo inaonekana kwamba yalijiunga nao.

Hao wanajeshi nao ni raia vilevile na wanaishi kwenye jamii hizo hizo.

Utaua raia wangapi halafu wewe uepuke kuuliwa na raia wenye hasira?

JWTZ halina risasi zaidi ya milioni 60.

Litatumia silaha na mwishowe litaishiwa ammunition. After that, then what?

Unataka kuniambia JWTZ linaweza kuua raia zaidi ya milioni 60?
 
Huyu Mama ni Mtihani kweli, so alitaka watumishi wafiche UFISADI… wao watumishi wanapata faida gani? Nilidhan atadeal na ufisadi kumbe anadili na mpiga picha, nasema hatoweza…… human ni very
Complex créature for as long as hakuna haki na usawa.

It’s simple reasoning….. pesa ale abdul na Waziri Salum halaf mm ndio nitunze siri kwa faida gani? Hivi watu wa generation hii ya Tanzania wanawaza kwa kutumia viungo gani ?

Yani mtu anapambana kuutetea na kuuficha ufisadi badala ya kuwajibishàna

Wakenya wapo sahihi ….. watanzania wapo kwenye dark age…..pretending worship peace huku wanaungua

Honestly , she has lost a control, dont trust me , Just go and check it for yourself.

She was supposed to conduct investigation on leaked docs , na akawawajibisha hao mafisadi…. That would be a smart move
Badala yake…. Anaanza kutisha watu tena…….. Yale yale ya wakenya

As a medical specialist and psychologist….. Intimidation is not a strategy to deal with human behavior…. More docs are on pipeline …. Ajiandae maana hajajua bado namna ya kudeal na human behavior. If intimidation and atomic energy would be a solution to human behavior….. Israel would have defeated Palestine
 

Attachments

  • eba6b5c1-7a26-45e6-bfd3-f89de0999e1a.jpeg
    189.4 KB · Views: 16
Mzee Njaa hapa hujaeleweka umepiga mpira kwa miguu yote in short umeng'ata na kupuliza
 
Hawa watu wanatuona sisi ni wajinga sana. Na haya yote yanatokana na JWTZ kutojitambua na kugeuka kuwa machawa wa Wanasiasa wapumbavu wa CCM badala ya Watetezi wa Wananchi.
 
Hawa watu wanatuona sisi ni wajinga sana. Na haya yote yanatokana na JWTZ kutojitambua na kugeuka kuwa machawa wa Wanasiasa wapumbavu wa CCM badala ya Watetezi wa Wananchi.
We Lodi Deningi, huu ni uchochezi wa kutaka kuwachochea jeshi wafanye jambo kinyume cha jukumu lao,ni moja tuu kuilinda nchi na mipaka yake,na sio kuingilia uendeshaji wa nchi!
P
 
Gwajima nimemsikiliza kipande kimoja kuwa hakuna Mtanzania ambae anapinga Utekaji kama yupo huyo sio Mtanzania nilikua nasikiliza sehemu nikiwa kwenye kelele aisee..
 
Nilikua nafyatua tofali za kujengea nchi lakini nimeacha rasmi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…