Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
-
- #141
Nani kakwambia? Ghana iliyosikifa Afrika na inayosifika leo kwa demokrasia ni matokeo ya Ruteni Jerry RawlingsRawlings alileta hyperinflation na debt crisis Ghana.
Ujinga ni kumsifia rais aliyeleta hyperinflation na debt crisis.
Na hata huyo Rawlings alijiondoa jeshini na kupata mandate ya wananchi kwenye ballot box.
Watu wanavyolelewa tu katika familia sehemu nyingi hakuna maadili wala kusikilizana.Kweli kabisa maana hata wanaolalamikiwa sasa hivi ni watu kutoka katika jamii yetu. Hakuna tunda linaloanguka mbali na mti. Jamii ikibadilika na uongozi wa nchi utabadilika eventually.
Thibitisha.Hizi data wamezifeed mabeberu kuonyesha kuwa hajafanya kitu.
Waache watu wafanye wanavyotaka, huwezi kujua nani anaweza kuwa Mandela au Nyerere mwingine.Sio kila mtu ni Mandela, sio kila mtu ni Nyerere...kwenye mtandao tupo vizuri kujazana upepo lakini kwa ground yakikukuta ndio utaelewa. Hauwezi kupambania watu waliolala.
Wewe kwanza hujui hata kuandika Luteni.Nani kakwambia? Ghana iliyosikifa Afrika na inayosifika leo kwa demokrasia ni matokeo ya Ruteni Jerry Rawlings
We Lodi Deningi,tuliosoma fasihi,tumekuelewa unataka kuwatuma JWTZ wafanye nini!, jeshi letu la JWTZ ni jeshi la kizalendo,kazi yao ni kulinda usalama wa nchi na mipaka yake na sio kufuatilia uendeshaji nchi!Hitimisho.
Lawama zangu siku zote nitazielekeza kwa JWTZ maana wao wana kiapo cha kuilinda Katiba kwa uzalendo mkubwa alafu hawachukui hatua stahiki dhidi ya hawa Wanasiasa na Viongozi ambao wanainajisi katiba kwa kiwango cha kutisha kwa kufanya ufisadi dhidi ya Watanzania masikini.
Lord denning
Mwanza
Kwa uliyopitia kipindi cha Magufuli bado unataka CCM waendelee kutawala nchini Tanzania?We Lodi Deningi,tuliosoma fasihi,tumekuelewa unataka kuwatuma JWTZ wafanye nini!, jeshi letu la JWTZ ni jeshi la kizalendo,kazi yao ni kulinda usalama wa nchi na mipaka yake na sio kufuatilia uendeshaji nchi!
Tuna jeshi la polisi,kazi yake ni kulinda usalama wa raia na mali。zao, hata hazina ikichotwa,wao watalinda!。
Tuna Idara ya Usalama wa Taifa,kazi yake ni kulinda usalama wa nchi hata hazina ya nchi ikikaushwa,wao watalinda tuu。
Tuna Idara ya Usalama wa serikali GSU kazi yake ni kulinda usalama wa serikali,hata waserikali wakichota na kukausha hazina,itawalinda!
Tuna idara ya ulinzi wa vingozi PSU,hawa watawalinda viongozi hata wawe mafisadi vipi!
Usiyaingize majeshi yetu kwenye siasa!。
P
Kwa mbaali nimemsoma P.Mayalla ninayemfahamu.We Lodi Deningi,tuliosoma fasihi,tumekuelewa unataka kuwatuma JWTZ wafanye nini!, jeshi letu la JWTZ ni jeshi la kizalendo,kazi yao ni kulinda usalama wa nchi na mipaka yake na sio kufuatilia uendeshaji nchi!
Tuna jeshi la polisi,kazi yake ni kulinda usalama wa raia na mali。zao, hata hazina ikichotwa,wao watalinda!。
Tuna Idara ya Usalama wa Taifa,kazi yake ni kulinda usalama wa nchi hata hazina ya nchi ikikaushwa,wao watalinda tuu。
Tuna Idara ya Usalama wa serikali GSU kazi yake ni kulinda usalama wa serikali,hata waserikali wakichota na kukausha hazina,itawalinda!
Tuna idara ya ulinzi wa vingozi PSU,hawa watawalinda viongozi hata wawe mafisadi vipi!
Usiyaingize majeshi yetu kwenye siasa!。
P
Watanzania wengi wanapenda majibu rahisi kwenye maswali magumu.Kwa mbaali nimemsoma P.Mayalla ninayemfahamu.
Umemsahihisha mtoa mada na kuzungumzia uhalisia wa mambo ulivyo japo kifasihi zaidi 🫡.
Hivi watalaam wa Saikolojia,huyu mama yuko sawa upstairs? Mbona kama sio yeye,kama kavurugwa hivi? Kuna vitu haviko sawa..Akiwaapisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushuka kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii.
Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za ufisadi wa kutisha unaofanywa na Rais Samia na Watu wake wa karibu wakiwemo Viongozi wa juu kama zilivyoripotiwa na Mwanamitandao na Mwanaharakati Mange Kimambi ni za kweli.
Kwa maneno aliyotamka leo Rais Samia. Ni uthibitisho tosha kuwa bado Tanzania tuna watumishi wachache ambao ni Wazalendo kweli na wanaumia kuona Viongozi wachache wakijinufaisha binafsi kwa kuiba kodi za masikini wa Tanzania na hivyo kuamua kuanika maovu hayo hadharani.
Napenda kuwapongeza watumishi wazalendo kweli ambao wamechoshwa na namna Wanasiasa na Viongozi wachache wanavyolifisadi hili taifa kwa kiwango cha kutisha tena kwa fedha na mali za walipakodi masikini wa Taifa hili.
Hongera pia Mange Kimambi. Wewe ni mzalendo kweli na Taifa hili litakukumbuka daima kwa namna ulivyosimama kuwatetea masikini wake ambao wamenyimwa haki ya kuzungumza na Watawala makatili.
Hitimisho.
Lawama zangu siku zote nitazielekeza kwa JWTZ maana wao wana kiapo cha kuilinda Katiba kwa uzalendo mkubwa alafu hawachukui hatua stahiki dhidi ya hawa Wanasiasa na Viongozi ambao wanainajisi katiba kwa kiwango cha kutisha kwa kufanya ufisadi dhidi ya Watanzania masikini.
Lord denning
Mwanza
They love to cosplay as military officers. Perhaps it makes them feel they have some sort of super powers or something.Waafrika wengi ni wavivu.
Wanapenda kutumia nguvu kuliko akili.
Hivyo wanaona jeshi ndiyo jibu.
Wanapenda kuwaachia wachache kazi ya kunyoosha mambo, kazi ambayo ni ya watu wote.
Hivyo wanawaachia kazi wanajeshi.
Wengine wanapenda magwanda ya jeshi tu.
Ndiyo maana hata viongozi wa kiraia washawajulia wanavaa magwanda ya kijeshi kuwavutia tu.
Afrika watu wajinga na wavivu wengi sana bado.
View attachment 3343899
Hayo ni maoni yake mkuu,uongozi wa namna yeyote unaweza kuwa mzuri au mbaya.Watanzania wengi wanapenda majibu rahisi kwenye maswali magumu.
Kazi ya kunyoosha nchi ambayo ni ya wananchi wote, wao wanataka kuwategea wanajeshi.
Kifuoi wanataka uhuru kwa kutetea utumwa.
Utawala wa kijeshi ni utawala wa anri. Haufuati demokrasia. Katiba inakuwa suspended. Wanacjosema wanajeshi ndiyo hicho hicho.
Sasa hapo mtu mwenye akiki atatakaje utawala wa kijeshi?
Ndiyo, uongozi wetu wa sasa mbovu sana, lakini kwa nini tutake uongozi wa kijeshi?
Tunajuaje uongozi wa kijeshi utakuwa mzuri zaidi?
Wananchi wanapokosa nguvu ya kuwaondoa watawala wasiofaa, Ni jeshi pekee ndilo utegemewa kutimiza madai ya Wananchi.They love to cosplay as military officers. Perhaps it makes them feel they have some sort of super powers or something.
Halafu, kwani jeshi halikuwa implicated kwenye hizo ‘nyaraka’ zilizorishwa mitandaoni?
Kama sijakosea, hizo ‘nyaraka’ zilikuwa zinahusu manunuzi ya silaha za kijeshi.
Ccm ni mchwa hawashibiAkiwaapisha Viongozi mbalimbali leo, Rais Samia ameelezea kushuka kwa maadili ya Viongozi wa Umma na Watumishi hadi kufikia nyaraka za Serikali kupigiwa picha na Watumishi na kurushwa kwenye Mitandao ya Kijamii.
Kwa maneno haya aliyotamka Rais leo hii, ni uthibitisho tosha kuwa tuhuma nzito za ufisadi wa kutisha unaofanywa na Rais Samia na Watu wake wa karibu wakiwemo Viongozi wa juu kama zilivyoripotiwa na Mwanamitandao na Mwanaharakati Mange Kimambi ni za kweli.
Kwa maneno aliyotamka leo Rais Samia. Ni uthibitisho tosha kuwa bado Tanzania tuna watumishi wachache ambao ni Wazalendo kweli na wanaumia kuona Viongozi wachache wakijinufaisha binafsi kwa kuiba kodi za masikini wa Tanzania na hivyo kuamua kuanika maovu hayo hadharani.
Napenda kuwapongeza watumishi wazalendo kweli ambao wamechoshwa na namna Wanasiasa na Viongozi wachache wanavyolifisadi hili taifa kwa kiwango cha kutisha tena kwa fedha na mali za walipakodi masikini wa Taifa hili.
Hongera pia Mange Kimambi. Wewe ni mzalendo kweli na Taifa hili litakukumbuka daima kwa namna ulivyosimama kuwatetea masikini wake ambao wamenyimwa haki ya kuzungumza na Watawala makatili.
Hitimisho.
Lawama zangu siku zote nitazielekeza kwa JWTZ maana wao wana kiapo cha kuilinda Katiba kwa uzalendo mkubwa alafu hawachukui hatua stahiki dhidi ya hawa Wanasiasa na Viongozi ambao wanainajisi katiba kwa kiwango cha kutisha kwa kufanya ufisadi dhidi ya Watanzania masikini.
Lord denning
Mwanza
Nafikiri kwa stage hiyo mambo ya procurement wahusika walikuwa ni civilians wa wizara ya ulinzi na serikalini. In fact kwa kanuni za "civilian control of the military" maamuzi yanafanywa na civilians, wale wanajeshi wanaweza kushauri tu.They love to cosplay as military officers. Perhaps it makes them feel they have some sort of super powers or something.
Halafu, kwani jeshi halikuwa implicated kwenye hizo ‘nyaraka’ zilizorishwa mitandaoni?
Kama sijakosea, hizo ‘nyaraka’ zilikuwa zinahusu manunuzi ya silaha za kijeshi.
Hayo ni maoni yake mkuu,uongozi wa namna yeyote unaweza kuwa mzuri au mbaya.
Ni namna za kutafuta unafuu tu
Rais wa kidemokrasi wa misri alikua ni morsi,,wengine wote ni maadikteta,hata huyo Al sis alikua Sana watu Hadi akawatuliza hapo misri,General Al-Sisi wa Misri amejitahidi kuiweka Misri katika muenendo angalau mzuri kuliko wa Mubarak na Morsi baada ya kukosena utawala wa kiraia wa kueleweka.
Na wewe acha kutusumbua ingia X au Insta fuatilia account ya Mange KimambiNi nyaraka gani za serikali ambazo zimesambazwa hadharani siku za hivi karibuni?