Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,431
Umesahau BSc in Oil and Gas engeneering. Hii ina future nzuri sababu kuna migodi kibao ya kuchimba mafuta na gesi iko mbioni kuanzishwa
Huwaga napenda kuziita kozi zilizoanzishwa kwa siasa!! Si kwamba nawakatisha moyo...ila jiulize hii gesi na mafuta mnajua mmiliki ni nani?? Je nani anachimba?? Anayechimba ataacha mainjinia wake wa petrol aje kukuchukua wewe??? Think!!Hapo umesahau account and finance in Oil and Gas
Sijui kama washauri wako wapo sahihi, hakuna top five Bila kujali mchango wa kila taaluma duniani, hakuna dunia iliyoenda mbele kwa dhana hiyo, mm naamani kila taaluma ni top kwa anayesoma, haijalishi.
Mpo sahihi hakuna taaluma iliyo juu ya nyengine lakini kwenye kukua kwa nchi huwa kuna Priorities mbalimbali katika vipindi tofauti kwenye hii thread nimejaribu kuangalia "uhalisia" wa nchi yetu ilipo tuna priority za kinchi kwa muda huu ndio mana nikaandika maoni yangu zilizo top kwa TanzaniaKila kozi Ina mfereji wa mafanikio, kusoma kwa ajili ya ajira kwa sasa ni Sawa na kuota moto mchana wa jua kali, kujiajiri ndo mpango mzima, hakuna cha top 5
hao hao ndo wanaodetermine future yakoWaliosoma . ( HKL, HGL, HGK, HGE) hawa wakajikite/ wakasomee:
1. Siasa
2.Sanaa (maigizo & muziki)
3. Ujasiriamali
4.............
5............
kaandike tena uzi kumbe hata kozihuzijui, utaachaje kuitaja chemical and processing engineeringTop 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo
Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Quantity Surveying
5.Software Engineering
Waliosoma Chemistry na Biology(PCB,CBM,CBG)
1.Medicine
2.Pharmacy
3.Medical Laboratory Sciences
4.Veterinary Medicine
5.Optometry
Waliosoma Mathematics(PCM,PGM,EGM,CBM)
1.Architecture
2. Geomatics
3.Actuarial sciences
4.Building Economics
5.Land Management and Valuation
Waliosoma Economics(EGM,HGE,ECA)
1.Business Information Technology
2.Agricultural Economics and Agribusiness
3.Accountacy and Finance
4.Agricultural and Natural Resources Economics and Business
5.Maritime Transportation
Top 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo
Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Quantity Surveying
5.Software Engineering
Waliosoma Chemistry na Biology(PCB,CBM,CBG)
1.Medicine
2.Pharmacy
3.Medical Laboratory Sciences
4.Veterinary Medicine
5.Optometry
Waliosoma Mathematics(PCM,PGM,EGM,CBM)
1.Architecture
2. Geomatics
3.Actuarial sciences
4.Building Economics
5.Land Management and Valuation
Waliosoma Economics(EGM,HGE,ECA)
1.Business Information Technology
2.Agricultural Economics and Agribusiness
3.Accountacy and Finance
4.Agricultural and Natural Resources Economics and Business
5.Maritime Transportation
karibu mkuu tulime matikiti maji.KWAHIYO MtOA MADA MIMI WA BACHElOR OF ARtS WItH EDUCAtION(BAED) WA HIStORY NA gEOgRAPHY NIKAlIME tU MAANA NAONA HII BAED YANgU AtA tOP 5000 SItAKUEPO
Kati ya watu waliosoma PCB anayeweza kujiajiri kirahisi kuliko wote ni wa agriculture na veterinary labda.Urahisi wa kuajiriwa na kujiajiri kutokana na uhalisia wa nchi yetu ilipo
You are very wrong! Bado una mawazo ya mwaka 1947! Those are traditional courses that used to be very productive in terms of employment prospects! It is no longer the case!
Kwa sasa mambo ni!
A. Kwa PCB: 1. Biomedical engineering.
2. Biotechnology
3. Pharmacy.
B. Kwa PCM: 1. Petroleum engeneering
2. Petroleum chemistry
3. Computer engeneering.
Wewe kilazaTop 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo
Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Chemical and Processing Engineering
5.Software Engineering
Waliosoma Chemistry na Biology(PCB,CBM,CBG)
1.Medicine
2.Pharmacy
3.Medical Laboratory Sciences
4.Veterinary Medicine
5.Optometry
Waliosoma Mathematics(PCM,PGM,EGM,CBM)
1.Architecture
2. Geomatics
3.Actuarial sciences
4.Building Economics
5.Land Management and Valuation
Waliosoma Economics(EGM,HGE,ECA)
1.Business Information Technology
2.Agricultural Economics and Agribusiness
3.Accountacy and Finance
4.Agricultural and Natural Resources Economics and Business
5.Maritime Transportation