Kwa Maoni yangu hizi ndio top 5 Degree Programs kwa Tanzania

Kwa Maoni yangu hizi ndio top 5 Degree Programs kwa Tanzania

Umesahau BSc in Oil and Gas engeneering. Hii ina future nzuri sababu kuna migodi kibao ya kuchimba mafuta na gesi iko mbioni kuanzishwa

Hapo umesahau account and finance in Oil and Gas
Huwaga napenda kuziita kozi zilizoanzishwa kwa siasa!! Si kwamba nawakatisha moyo...ila jiulize hii gesi na mafuta mnajua mmiliki ni nani?? Je nani anachimba?? Anayechimba ataacha mainjinia wake wa petrol aje kukuchukua wewe??? Think!!
 
Sijui kama washauri wako wapo sahihi, hakuna top five Bila kujali mchango wa kila taaluma duniani, hakuna dunia iliyoenda mbele kwa dhana hiyo, mm naamani kila taaluma ni top kwa anayesoma, haijalishi.

Kila kozi Ina mfereji wa mafanikio, kusoma kwa ajili ya ajira kwa sasa ni Sawa na kuota moto mchana wa jua kali, kujiajiri ndo mpango mzima, hakuna cha top 5
Mpo sahihi hakuna taaluma iliyo juu ya nyengine lakini kwenye kukua kwa nchi huwa kuna Priorities mbalimbali katika vipindi tofauti kwenye hii thread nimejaribu kuangalia "uhalisia" wa nchi yetu ilipo tuna priority za kinchi kwa muda huu ndio mana nikaandika maoni yangu zilizo top kwa Tanzania
Mfano nchi yetu bado inajengeka obvious Civil Engineering,Electrical Engineering,Quantity Surveying,Geomatics zitakuwa na demand kubwa lakini inaezewekana zisiwe big deal USA ukakuta kule big deal ni Computer science kutokana na Wapi nchi yao ilipo kwa sasa

Mfano mwengine nchi yetu kwa sasa kumekuwa na mapinduzi kuelekea kwenye kilimo cha umwagiliaji na mapinduzi makubwa ya kukifanya kilimo kiwe na Kibishara obvious Irrigration Engineering na Agriculture economics zitakuwa na demand kubwa.
 
kweli umedhihirisha ni maoni yako maana you are very subjective.
Means to say hujaweka evidence kwenye huo utafiti wako
 
Sijaona political Science Mkuu.
Hiyo ndio inaongoza Nchi yoyote na Dunia Kwa ujumla
 
Top 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo

Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Quantity Surveying
5.Software Engineering

Waliosoma Chemistry na Biology(PCB,CBM,CBG)
1.Medicine
2.Pharmacy
3.Medical Laboratory Sciences
4.Veterinary Medicine
5.Optometry

Waliosoma Mathematics(PCM,PGM,EGM,CBM)
1.Architecture
2. Geomatics
3.Actuarial sciences
4.Building Economics
5.Land Management and Valuation

Waliosoma Economics(EGM,HGE,ECA)
1.Business Information Technology
2.Agricultural Economics and Agribusiness
3.Accountacy and Finance
4.Agricultural and Natural Resources Economics and Business
5.Maritime Transportation
kaandike tena uzi kumbe hata kozihuzijui, utaachaje kuitaja chemical and processing engineering
 
KWAHIYO MtOA MADA MIMI WA BACHElOR OF ARtS WItH EDUCAtION(BAED) WA HIStORY NA gEOgRAPHY NIKAlIME tU MAANA NAONA HII BAED YANgU AtA tOP 5000 SItAKUEPO
 
hahahhaha wote hao wanatuma Cv na kupangiwa mshahara kwa aliyepata A ya kiswahili C ya English B ya Civics, C ya history.
na hawaaminiki ndo maana project kubwa zote wanapewa wageni
 
Top 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo

Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Quantity Surveying
5.Software Engineering

Waliosoma Chemistry na Biology(PCB,CBM,CBG)
1.Medicine
2.Pharmacy
3.Medical Laboratory Sciences
4.Veterinary Medicine
5.Optometry

Waliosoma Mathematics(PCM,PGM,EGM,CBM)
1.Architecture
2. Geomatics
3.Actuarial sciences
4.Building Economics
5.Land Management and Valuation

Waliosoma Economics(EGM,HGE,ECA)
1.Business Information Technology
2.Agricultural Economics and Agribusiness
3.Accountacy and Finance
4.Agricultural and Natural Resources Economics and Business
5.Maritime Transportation

Building economics/Cost Engineering/Quantity Surveying ni kozi moja sema inatofautiana majina kutokana na nchi na nchi (USA-Cost engineering/UK-Quantity surveying/TANZANIA/KENYA)
Kwa Tanzania na Kenya iliitwa Building economics ambapo mtu akisoma miaka 4 anagraduate then anafanya practice miaka 2 then anasajiliwa na bodi (AQRB)na kuitwa Quantity Surveyor!

Tofauti ni kwamba UDSM wanachukua waliosoma Physics na Math at A level but ARDHI wanachukua aliyesoma Physics O level, na kwa A level awe amesoma Pure Mathematics or Basic applied Mathatics!

But kila kitu ni sawa interms of courses/contents na mpaka registration yao kule bodi(AQRB) though wa udsm bado ni wachanga kwa sababu ndo kwanza wapo 2nd year now hawana hata Qs mmoja kwenye industry.... all Quantity Surveyors in the industry wanatoka ARDHI UNIVERSITY although kuna waliosoma nje pia.

Hapo before hii Course kwa EAST AFRICA ilikuwa inapatikana Ardhi University na University of Nairobi tuu.
 
KWAHIYO MtOA MADA MIMI WA BACHElOR OF ARtS WItH EDUCAtION(BAED) WA HIStORY NA gEOgRAPHY NIKAlIME tU MAANA NAONA HII BAED YANgU AtA tOP 5000 SItAKUEPO
karibu mkuu tulime matikiti maji.
 
Sisi wa bachelor of science in drinking water wacha tukae pembeni
 
You are very wrong! Bado una mawazo ya mwaka 1947! Those are traditional courses that used to be very productive in terms of employment prospects! It is no longer the case!
Kwa sasa mambo ni!
A. Kwa PCB: 1. Biomedical engineering.
2. Biotechnology
3. Pharmacy.
B. Kwa PCM: 1. Petroleum engeneering
2. Petroleum chemistry
3. Computer engeneering.
 
Na Heshimu Mawazo Yako Mkuu Japo Natofautiana Kidogo Na Mawazo Yako Kwa Research Yangu Niliyoifanya Kitambo Tu.
Hizi Ndo Top Generalized Degree Programmes Globally.

1. Engineering.
2. Law
3. Medicine
4. Accounting & Business Related Courses.
5. Actuary & Statistics Courses.

I Stand To Be Corrected.
 
You are very wrong! Bado una mawazo ya mwaka 1947! Those are traditional courses that used to be very productive in terms of employment prospects! It is no longer the case!
Kwa sasa mambo ni!
A. Kwa PCB: 1. Biomedical engineering.
2. Biotechnology
3. Pharmacy.
B. Kwa PCM: 1. Petroleum engeneering
2. Petroleum chemistry
3. Computer engeneering.

Hiyo Petrolium Engineering kimeo waliongia kichwa kichwa wanajuta...kazi zipo za kuvizia
Biomedical Engineering haina inshu kama inavyopambwa na watu wameshaanza kujaa na kwa Watanzania utaishia kuwa fundi wa maintenance ya vifaa vya kawaida tu vya hospital,Radiology equipment zikizingua mpaka atoke fundi nje ya nchi Biotechnology sio kwa nchi hii kazi zake ni chache sana
Computer engineering inapigwa bao na Software engineering...Tanzania sasa hivi inahitaji watu wa software kuliko wa hardware
 
Top 5 Degree programs kwa Mchanganuo ufuatao wa masomo

Waliosoma Physics na Mathematics(PCM,PGM)
1.Electrical Engineering
2.Civil and Irrigation Engineering
3.Mechanical Engineering
4.Chemical and Processing Engineering
5.Software Engineering

Waliosoma Chemistry na Biology(PCB,CBM,CBG)
1.Medicine
2.Pharmacy
3.Medical Laboratory Sciences
4.Veterinary Medicine
5.Optometry

Waliosoma Mathematics(PCM,PGM,EGM,CBM)
1.Architecture
2. Geomatics
3.Actuarial sciences
4.Building Economics
5.Land Management and Valuation

Waliosoma Economics(EGM,HGE,ECA)
1.Business Information Technology
2.Agricultural Economics and Agribusiness
3.Accountacy and Finance
4.Agricultural and Natural Resources Economics and Business
5.Maritime Transportation
Wewe kilaza
 
Back
Top Bottom