Kwa Maoni yangu hizi ndio top 5 Degree Programs kwa Tanzania

Mech eng vip mkubwa!! Au nayo ni shida kwa kaz hapa Tanzania
 
Tafuta waliosoma hizo course wenye ajira na waliosoma nyinginezo za sanaa na biashara wenye ajira wapi maisha yao yako vizuri
 
Sijaelewa mantiki ya unachopinga
mtoa mada ameandika program ya maritime transportation kwa aliesoma economics ni nzuri
Unachopinga ni nin?kwamba aliesoma economics hawezi kusoma maritime transportation?
Huyo anachopinga et Marine transportation haiusiani na uchumi.
 
Edit hapo kwenye attach
 
Tatizo bado una mawazo ya kuangalia bongo tu!
Biomedical engineering ni kiboko!
Wataalamu wake ni adimu na hawakubali kuajiriwa! Akifanya kazi kwa wiki moja KIPATO chake ni zaidi ya mshahara wa daktari wa mwaka mzima!
 
Tatizo bado una mawazo ya kuangalia bongo tu!
Biomedical engineering ni kiboko!
Wataalamu wake ni adimu na hawakubali kuajiriwa! Akifanya kazi kwa wiki moja KIPATO chake ni zaidi ya mshahara wa daktari wa mwaka mzima!
Hii kamba mkuu ivi unajua hii course ni mpya asee sasa before hapo hizo hospital equipments zilikuwa zinafanyiwaje analysis na maintenance kwa tarifa tu ni kuwa Hospital Nyingi zinategemea mafundi wq Electronic na Umeme
 
Mkuu mbona umesahau bachelor of health systems and management
 
Hizo ni fitina, mbona umeshau walimu waliosomea Mathematics, Physics, Chemistry, Biology kama umeegemea kwenye sayansi. Bila hao walimu unafikili ungegraduate hizo kozi.
Una akili sana.
Muulize pia mikataba ya kufungua kampuni au kupata kandarasi ataandikiwa na nani?
Halafu akipata kesi ya ajira atakimbilia kwa wataalam wa sheria.
Hence.Kila course ni viable circumstancial.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…