mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Wewe uko mioyoni mwa watu hao unaowasema? Jana nilikuwa naongea na baadhi ya watu waliokuwa viwanja vya furahisha Mwanza wananiambia hapakuwa na lolote la maana toka kwa Lissu zaidi ya vijembe tu, kwa kauli hiyo utagundua nini kinachoendelea. so far walizidisha muda wa kampeni na hiyo yote ni kutafuta sababu za kulalamika pindi wakiondolewa kwa nguvu na vyombo vya dolaHuyu sio sawa na Mrema wa 1995 watu walikuwa wanamshangilia tu,mwaka huu watu wako serious
Ni true mabosi zao ndio wanufaika,wanasema upole wa wananchi ndio unawaangusha wanakosa pa kuanzia nao wanataka mabadilikoUmesema kweli mkuu ila Kuna jamaa yangu mjeda anakuambia vijana wengi walioko jeshini intake mpya mpya wanapenda haki na mabadiliko sasa sielewi anamaanisha nini.
Ninyi vibaraka wa mabeberu mnajilinganisha na Nelson Mandela?Nelson Mandela walisema hataupata urais labda dunia ipasuke YAKO WAPI LEO?
Basi naomba uelezee mapokezi ya Tl right now yanahusiana veep na uchaguzi wa serikali za mitaa. Labda ndo nitakuelewa mkuuu.Kiini cha haya yanayofanyika Sasa MSINGI wake ni matokeo ya UCHAGUZI wa Serikali za mitaa.
Kama jiwe kaweza nani ashindwe? Hata wewe pamoja na ujinga wako amini unawezaWengi washangaaji tu, Lissu uwezo wa kuongoza nchi hana, CHADEMA ni dhahifu sana na ikitokea siku wakaongoza watakuwa mafisadi wakubwa sana, walionesha madhaufu yao makubwa sana 2015
Mwanza wametisha ni hatari....Duuuh Lissu anaingia CHAMWINO.Mwanza, Tanzania
Kukaa mikutanoni na kushangiliwa sio kigezo cha ushindi.Unahisi mrema hakushinda!!?Kama unazijua vizur siasa za kwetu hapa usilinganishe nyakati maana Kuna kushinda kwenye sanduku na anaetangazwa kushinda kwa mujibu wa tume.
Sawa tunasubiri hao wapiga kura waje waambie! Lakini mkae mkijua siku mkipora kura za Lissu tunaingiza raia barabarani, safari hii hatuibiwe kiboya!Kuna tofauti kati ya mapokezi na wapiga kura. Usisahau hilo tafadhali.
Kuna tofauti kati ya mapokezi na wapiga kura. Usisahau hilo tafadhali.
Kama jiwe kaweza nani ashindwe? Hata wewe pamoja na ujinga wako amini unaweza
asante kwa singeli mpya comrade.Kuna tofauti kati ya mapokezi na wapiga kura. Usisahau hilo tafadhali.
Kukaa mikutanoni na kushangiliwa sio kigezo cha ushindi.
Wengine wezi wa simu, wengine wafuata mkumbo, wengine wanashangaa tu.
Wapiga kura katika wingi ule wa watu wanaokwenda mikutanoni ni wachache.
Ni ujumbe wenye kuwakumbusha wanaozijua siasa za nchi hii miaka ya sasa.Lishalopita sio ndwele ganga lijalo.
Kwani mwanzo wakutumia simu yako ya kwanza ni hiyo iliyomkononi mwako sasahivi?
Hujamuelewa Magufuli na hujaelewa kwanini maneno yale kayasema pale Ikungi.Hivi kushangiliwa sio ishara ya kukubalika? Hivi kwenda mkutanoni bila kuwa na wasanii sio ishara ya kukubalika na confirmation? Sasa kwa nini yule mgombea wa CCM wa kiti cha Urais anataka kura za Lissu tena kwa rushwa? Siku matokeo ya Urais yakianza kuchunguzwa ndio utaona strong positive association ya wingi wa watu na waing wa kura za mgombea husika.
Mikutano ya CCM ndio inawapiga kura?Kuna tofauti kati ya mapokezi na wapiga kura. Usisahau hilo tafadhali.
Unaongea habari za mrema?Kuna mwanasiasa aliyepata mapokezi makubwa kumzidi Mrema wa 1995?.
Aliishia wapi?. Kama mleta mada ni mgeni kwenye siasa za TZ ni lazima utekwe na matukio ya muda tu.
Nani kasema atampa kura jiwe zaidi ya wewe?Jiandae kisaikolojia maana unashindwa kutofautisha umati wa watu na upigaji kura. Kimsingi kuna watu wanakwenda kwenye kampeni za Lissu kumshangaa na kucheka tu kwa vile vituko na maneno yake ya kejeli kwa Rais Magufuli na Serikali yake. Maneno anayoyaongea Lissu kimsingi ni yaleyale tu ya kejeli kejeli tu, kujiona yeye anajua sana kila kitu kumbe mweupe tu. Asilimia zaidi ya themanini ya Watanzania wapiga kura walishaamua kumpa kura JPM hilo halina mjadala na nikiangalia upande wa Wabunge Chadema inaweza kupambana labda na kupata katika Majimbo ya Mbeya Mjini, Iringa Mjini, Kawe, Bunda Mjini, Arusha Mjini, Tarime Mjini na Mikumi ila kwingineko CCM itapata viti vingi mno vya ubunge