Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Sifa ya Nyani huwa kila mmoja anarukia Mti wake kivyake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikia fc buana.
Mnyero fcWanajiita Mabingwa Wa Kombe Ambalo Sijawahi Kusikia Linachezwa Wapi, Lini, Sangapi, Dhidi Ya Timu Zipi? {kihistoria} Au Wanacheza Saa 8 Za Usiku Kule Kaunda Graves De Gsm Stadium? Washiriki
Ni Vyura Fc
Manyan Fc
Mbwambwa Fc
Konokono Fc
Kobe Fc
Kaa Fc
Minyoo Fc
Chambo Fc
Mumi Fc
Ndoana Fc
Kenge Fc
Wote Hawa Kutoka Kaunda Bwawani, Sasa Hapo Lazima Waendelee Kutetea Taji Lao La Kihistoria.
Mnyero+umbumbumbu=tak mokoHome Shopping Center + Utopolo =Upuuzi Jazz band.
Na sifa ya mkia?Sifa ya Nyani huwa kila mmoja anarukia Mti wake kivyake
Na sifa ya mkia?
Kwenye kiswahili hakuna neno mapungufu,ni upungufu,neno hilo halina uwingi,likiwa moja ni upungufu na yakiwa mengi ni upungufu
Matako Juu FC katika ubora wenu. Watoto wanajua kubong'oa duh!Mnyero+umbumbumbu=tak moko