Kwa 'Mapungufu' haya ya 'Kimsingi' kati ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga Mwakalebela na Mhamasishaji Nugaz bado tu tukisema Yanga kuna 'Shida' mtabisha?

Mnyero fc
 
Kwenye kiswahili hakuna neno mapungufu,ni upungufu,neno hilo halina uwingi,likiwa moja ni upungufu na yakiwa mengi ni upungufu

Sasa kama ni 'Nguli' hivi wa Kiswahili kwanini hujawa Mkuu wa BAKITA au hujawa Mkufunzi wa Kiswahili Chuo Kikuu chochote hapa nchini Kwetu?
 
Manara, wewe na nduguyo okwi boban Sunzu kwa siku uzi kuhusu yanga
 
Tabia za wanawake Malaya nikufuatilia wanaume was watu!! Nao una elelment za kufuatilia wanaume wa watu ngoja siku ya mwananchi tukutafutie kidume kitakachokuweza uache kiherere na yasiyokuhusu😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…